Pole zake! huyo kuzima simu kuna mawili au zaidi labda simu haina chaji, au yuko porini kwenye mazoezi yao si nasikia wanajeshi kila mara wanafanya mazoezi ya kivita, au imebiwa, au anaona aibu kwa kuwa kwa sasa hana hata centi tano na ration itatoka wiki ijayo.
Kuhusu kurudi jeshini mie naomba msirudi, kwa kuwa Mungu kamsaidia amejifungua japo kwa kisu ni Mungu huyo atakayejua namna ya kumuinua, huyo baba mkwe mnayesema hatoi chochote labda na yeye hana. Mkienda jeshini akifukuzwa si ndio atakuwa amekosa vyote.
mwisho mwisho kabisa: KUBEBA MIMBA NI KIHEREHERE CHAKE