Tena asali ya nyuki wadogo 🥞🥞🥞🥞😄😄Mleta mada unajua utamu wa asali kweli wewe?
Kwenda Chauma hayo ni maagano aliyoingia na ccm, hana jinsi zaidi ya kutekeleza waliomlipa. Hata akienda hawezi kuwa na impact anayodhani anayo.Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo. Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.
Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.
Nawasilisha.
Achana na maisha ya watu mzee wa makamo kuwa mbea sio tabia nzuri .....achana na mbowe ana uhuru wakeMhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo. Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.
Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.
Nawasilisha.
kula ruzuku mbele ya Hashim Rungwe ?Mkuu hukumuona yuko na maza?Ana hakikisho la kugawiwa wabunge na kula ruzuku
Very good adviceMhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.
Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.
Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.
Nawasilisha.
Chama cha demokrasia na maendeleo kisichotaka demokrasia wanayohubiri. Mtu alitumia haki yake ya kidemokrasia kuhama chama vilio na makelele kibao toka CHADEMA. JITAHIDINI KUHESHIMU UTASHI WA KILA MTU ILI MRADI HAWAVUNJI SHERIA.Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.
Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.
Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.
Nawasilisha.
Mbowe kwani yeye hataki heshima? Akihama tutajua kweli kalishwa Asali yenye limbwata!Chama cha demokrasia na maendeleo kisichotaka demokrasia wanayohubiri. Mtu alitumia haki yake ya kidemokrasia kuhama chama vilio na makelele kibao toka CHADEMA. JITAHIDINI KUHESHIMU UTASHI WA KILA MTU ILI MRADI HAWAVUNJI SHERIA.
Hii ni hofu. Kwamba Chaumma kitakuwa chama kikuu cha upinzani na hivyo CDM kuzikwa kabisa kabisaa.Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.
Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.
Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.
Nawasilisha.
Mbowe anguko lake lazima litimie, muacheni wala hakuna shida mbona. Nafikiri kwa maamuzi yake hayo endapo ni kweli basi tutarajie CHADEMA ikiimarika maradufu.Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.
Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.
Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.
Nawasilisha.
Tatizo sasa hivi mshauri wake mkubwa ni SamiaMhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.
Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.
Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.
Nawasilisha.
Mzee Rungwe ameshachukua chake tayari na ameshaachia wahuni chama mazima hahusiki tena, Mzee Hashim ni mjanja fulani hivi.kula ruzuku mbele ya Hashim Rungwe ?
Mzee WA ubwabwa unamchukulia poa