Ushauri kwa mh. Zitto Kabwe (mb)

Status
Not open for further replies.

Siku Zitto anawakilisha haya nilikuwa kwanza kuulaani sana haya meneno ktk red: Zitoo kawa kam kawa confused , km kageuza kauli kuwa maisha yake na image yake ndio imekuwa intertwined na Siasa na mafanikio ya CDM.Na ni CDM ndio ikishambuliwa Zitto atakuwa kk jeopardy.Sasa Zitto anavyoanzia kuwa attack ikianzia kwakwe inaishia ku jeopardize CDM ..ilikuwa ni mwendelezo wa aliyokuwa akiamni na kuwaambiwa watu kuwa yeye ndie kila kitu ktk CDM, na viongozi wengine si kitu mbele yake.Hiyo vise versa aliiweka kukta makali tuu,ila si true kwake na sentence kaigeuza vibaya ili kumweka kuwa central.Zitto kaendelea jisifia ktk haya na mambo mengine ambayo niliyaita roots of Evil..mojawapo ya hayo ni haya:
-Pride.
-Greed
Zitto anaendelea kujifanya yeye tuu ndio anayejua, na wengine hawajui, na walio tofauti naye wamepotoka.Pia zitto anaamini kuwa maamdui zake wapo ndani ya CDM tena kwa zaidi ya watu wanaomshuku wanavyodhani nani ni adui.
 

kabisaa yaani akienda kinyume na hapa me ntamjua nayeye ni walewale
 








Wakuu,,, naona kiza zito hi habari ina ukweli ebu ma engineer mtupe maelekezo kwa hapa kdgo
 
tumikeni but ukweli utabaki kuwa ukweli na icc inawasubiri ninyi maharamia. na hatukati tamaa wala kuogopa ukombozi nilazima na cdm pekee ndo wenyehaki na wajibu huo.
 
Dah! bado sijapata cha kuongea, hili limenisahaulisha machungu ya mgao wa umeme, . Pesa zetu za kodi zina tuchezea akili kweli kweli. hapa dawa ni kugomea mpaka kodi za majani ya chai tuone watapata wapi hela za kuwahujumu wakina zito

Haha..kwani huwa wanakushanya kodi
 
Ukipata nafasi ya kukutana na ZZK utamshauri afanye nini katika kipindi hiki kigumu anachokabiliana nacho????
 
Usikurupuke wala kuropoka. Tulizana tafuta mchumba uoe uachane na ukapera huna sababu ya kuendelea kuwa kapera miaka yote hii.
 
Ninachojua mimi sababu za kumfukuza Zitto kwenye chama ni nyingi mno. walichokisema kamati kuu hadi sasa wamembeep tu, bado hawajampigia. Ngoja tusubiri kesho atasema nini na rafiki yake ambaye hawajakutana barabarani Dr Kitila.

haha..kitila mkumbo ananikumbusha Mkumbo wengi sana ambao wote ni vimeo.Hta huyu aliyesoma na kusomesha watu ni kimeo.Sasa sijui km aiowaelimisha nao si vimeo zaidi.

Kweli roll model wake mwingine ni JK....hakukutana na dr.Kitila barabarani,Jk nae hawakukutana na EL barabarani.
upo sahihi na kwa ujinga wa Zitto atafikiri kesho wataendelea mvumilia huyu psychopath.Atakwenda wabwatukia akidhani anaweza cheza kamikaze km kawa nao wamvumilie ili ajaribu geuza black kuwa gey.
 
Nitamshauri aanzishe chama chake cha siasa maana anaamini kuwa anawafuasi wengi. Halafu nitamwambie awe makini sana na mamluki wanaotumiwa na CCM na CDM lasivyo hakitafika mbali. pia nitampa mbinu chache ambazo hutumiwa na mamluki ukizingatia zingine nyingi anazijua yeye mwenyewe.
 
Re: Kuvuliwa uongozi kwa Zitto; CHADEMA Mmejipangaje kuepuka propaganda za UDINI na Ukanda zidi yenu
Katika hili, "Tuwe werevu kama nyoka lakini wapole kama hua." Tutashinda!


Reply Reply With Quote Send PM
Haki sawa
Today 02:47 #147
JF Senior Expert Member
Array
Join Date : 4th October 2007
Posts : 668
Rep Power : 9404
Likes Received
544
Likes Given
6
Tafsiri ya Udini na Ukanda wa CHADEMA kwa hatua za Kamati Kuu.
Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichomalizika juzi na maazimio yake kutangazwa jana kiliamua kuwavua Uongozi wajumbe wa Kamati kuu wawili ambao ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu , Mhe .Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo.
Aidha kilimvua madaraka ya uongozi aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Samsoni Mwigamba .


Ukiangalia kwa umakini uamuzi huo wa Kamati Kuu utaona kuwa kwa upande wa dini , Ukabila , Mikoa na Ukanda utaona ifuatavyo;


Zitto Kabwe , huyu ni Muislamu, Kanda yake ni Magharibi , Kutoka Mkoa wa Kigoma , Kabila lake ni Muha.....


Dr.Kitila Mkumbo, huyu ni Mkristo, Kanda yake ni ya Kati, Kutoka Mkoa wa Singida, Kabila lake ni Mnyiramba .....


Samsoni Mwigamba, huyu ni Mkristo, kanda yake ni Kaskazini, Mkoa wa Arusha ( ndio alikuwa Mwenyekiti wa Mkoa) , Kabila lake kwa kweli sijui, ila Nina uhakika kuwa huyu sio Muha wala sio Mnyiramba.


Ukafanya uchambuzi ambao sio biased , kwa vyovyote vile utaona kuwa kwa upande wa dini, Muislamu yuko mmoja na Wakristo ni Wawili.Hii ni sawa na kusema kuwa 75% ni Wakristo ndio wamepunguzwa Chadema na 25% ya Waislamu ndio wa epunguzwa kwa maamuzi hayo, huwezi kusema kuwa kulikuwa na ajenda ya kuiumiza dini moja , ila dini iliyoathirika zaidi ni Wakristo kwa kuwa ni asilimia 75% ndio wameathiriwa na maamuzi hayo.


Ukija kwa upande wa Ukanda unakuta kuwa Kanda ya Magharibi imeathirika kwa 33.33% , Kanda ya Kati imeathirika kwa 33.33% na Kanda ya Kasikazini imeathirika kwa 33.33% , hivyo maamuzi hayo haya kufanyiwa kwa misingi ya Ukanda Kwani kila Kanda imeathirika kwa kiwango sawa sawa, huwezi kutoa conclusion kuwa kulikuwa na ajenda ya Ukanda katika maamuzi yaliyofikiwa.


Ukitazama maamuzi hayo kwa Dhana ya Mikoa , utakuta kuwa hakuna Mkoa ambao uliathiriwa kuliko Mkoa mwingine Kwani kila Mkoa umeumia kwa kiwango sawa yaani Singida 33.33%, Arusha 33.33% na Kigoma 33.33% , hivyo unaweza kufikia conclusion kuwa hapakuwa na Mkoa ulipokuwa umelengwa Mahususi , ndio maana maamuzi hayo haya wezi kuitwa yalikuwa ya kuumiza ama kupendelea Mkoa fulani.


Ukiamua kuyatazama maamuzi hayo kwa misingi ya Ukabila unakuta kuwa hapakuwa na Kabila ambalo lililengwa Mahususi, kwani hapakuwa na Kabila moja lililoumia kuliko Kabila lingine , yaani kwa kupoteza idadi kubwa ya wajumbe kwenye vikao vya Chadema .


Hivyo, basi nawataka wale wote ambao wana jengo hoja kuwa uamuzi huu ulikuwa ni kwa misingi ya Ukanda, Udini na au ukabila wathibitishe madai yao kwa facts na sio kwa hoja nyepesi na Propaganda za kizamani kama ambavyo wanafanya kwenye kujenga hoja zao ili Jukwaa hili liweze kuwa na heshima yake ya miaka hiyo .


Aidha, kwa wale ambao tunaamino kuwa maamuzi hayo yalifanywa kwa misingi ya haki na kwa lengo la uwajibikaji,tunaamino kuwa hatua ya Kamati Kuu ilikuwa sahihi nailizingatia merits na sio kwa kutazama jambo lingine lolote lile.


Mwenye hoja unakaribishwa kwa mjadala wa Nguvu ya Hoja na sio Hoja za nguvu , kama unafikiri kuwa IQ yako iko chini please soma subiri wengine wachangie kwa kujenga hoja , Moods zingatieni hoja kwa maslahi ya jukwaa hili.


Thanks, CC, Nguruvi3, Mchambuzi, Mkandara, Mwanakijiji, Mungi, et all.
Alinda and TsafuRD like this.
 
"Tusiwaamini sana wanasiasa iwe wa CCM au CHADEMA "Zitto Kabwe 2013
 

kuna ukweli kabisa na kufanana na ule waraka kwa asilimia nyingi kabisa..huna nyingine mkuu tuendelee kula raha.

-ktk waraka wana kiri kuwa wamefulia na hawana kazi na kusafiri kunawafanya waziache familia zao ktk ubao mkubwa.

-Waraka unaonyesha pia juhudi za ZZK kumchefua, kumzoofisha, kumpindua mwenyeketi na hapa maCCM wana hiyo habari na wanatamani sana.
 
Ningemshauri abaki tu kuwa mwanachama wa Chadema aachane na mambo ya uongozi!
Pia akabiliane kiume na changamoto zinazomkabili as long as no man is perfect!
 

Kafara ya Zitto itakubalika madhabahu gani?Kwa Mungu hakuna kuua had Mende(Au kuaga kigoma)..kwa mizimu na mashetani wa jehanamu.Hawatakubali kwa vile tayari ni mali yao(Mashetani nao si wajinga kiasi hicho wapewe kilichotoka mfukoni kwao km zawadi).
 
Aanzishe chama chake wanafiki wenzake wakajiunge nacho

watakuwa wachawi maarufu....kwanza wamefulia.CCM wanajau hilo kuwa vinaja hawana hela wanaohongeka kidogo sana.Halafu boss wao ni maarufu na anajisifu kwa uchawi.Wanakiri ktk waraka kuwa ana jazba.Kitakuwa km kito cha kuhamisha watumwa kabla ya kuwafikisha ktk soko la watumwa Zenj.I mean Lumumba.

Shetani siku zote huwaabisha walio wake,ktk michezo yake ya kutafuta namna ya kuwaabisha walio wa Mungu.At least now CDM wakisema tulianza na Mungu ,tuna maliza na Mungu.na si tulianza na Mungu+mganga, na tunamaliza na Mungu+Shetani.

Haha ....kutoka kiapo cha kuzimu hadi kiapo cha Mungu.Msigwa simama .Safisheni wachawi ktk Nyumba ya CDM ili Mungu aharakishe kuikomboa nchi.
 
Kama kweli anaipenda cdm na watanzania wanaoipenda cdm afuate ushauri. Ila kama kweli ni mtumwa wa magamba lazima kesho atatoa maneno yenye kuongeza joto ndani ya chama!
 
Ningemshauri abaki tu kuwa mwanachama wa Chadema aachane na mambo ya uongozi!
Pia akabiliane kiume na changamoto zinazomkabili as long as no man is perfect!

Atabaki km ataweza andika sababu ni kwanii CDM wasimvue uanachama.Pengine akiomba msamaha.Otherwise pia kubaki kwake hawezi kuwa comfortable kabisa.Kwa jinsi alivyoamua kuwa kma Christiano Ronaldo kwa Messi...ni ngumu sana kuwa ktk kundi la wale wengine....

Kalazimisha sana hali kufikia ktk huu mfadhaiko...ambao hauna njia ya sahihi kutokea.
 
Kama kweli anaipenda cdm na watanzania wanaoipenda cdm afuate ushauri. Ila kama kweli ni mtumwa wa magamba lazima kesho atatoa maneno yenye kuongeza joto ndani ya chama!

Akitoa maneno ya kuongeza joto kwa sifa na ego yake,ndio basi hata hizo siku 14 na baru asahau.Pengine hamkuji Zitto vyema.

Alishaapa hawatamvumilia mtu anayefanya kazi za CCM ndani ya CDM.Dogo hakuwa na akili ya kutosha ona kuwa uvumilivu ulishisha siku nyingi na yeye hakupaswa endelea na ujinga.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…