True mkuu..Don Calleone aliwahi mwambia kijana wake mbele ya watu hatakiwi kuonyesha hasira zake it will affect his Judgement.Pamoja mkuu hope kamanda Lema ametupata.Katika kipindi cha hivi karibuni naona kamanda lema anaongea mambo akiwa ktk jazba kubwa sana.kutokana na hilo me naona kuna sehemu anakosea kwani wataalam wanasema mtu ukiwa na hasira au furaha sana sio vizuri kutoa maamuzi au matamko yanayohusu jamii mojakwamoja.Ushauri wangu kwake ajari kufikiri kwanza kabla ya kutoa tamko lolote na pia atafute ushauri kabla ya kufanya hivyo pia.Mungu ibariki Tanzania.
Ni ushauri mzuri.Katika kipindi cha hivi karibuni naona kamanda lema anaongea mambo akiwa ktk jazba kubwa sana.kutokana na hilo me naona kuna sehemu anakosea kwani wataalam wanasema mtu ukiwa na hasira au furaha sana sio vizuri kutoa maamuzi au matamko yanayohusu jamii mojakwamoja.Ushauri wangu kwake ajari kufikiri kwanza kabla ya kutoa tamko lolote na pia atafute ushauri kabla ya kufanya hivyo pia.Mungu ibariki Tanzania.
Thirdend[/QUOTE]
Aisee! Umenipa raha neno hilo jipya!
sema alichoongea usilete unafiki, usituletee habari ya kufungia gazeti lakini usemi umelifungia kwa kuwa limeandika niniKatika kipindi cha hivi karibuni naona kamanda lema anaongea mambo akiwa ktk jazba kubwa sana.kutokana na hilo me naona kuna sehemu anakosea kwani wataalam wanasema mtu ukiwa na hasira au furaha sana sio vizuri kutoa maamuzi au matamko yanayohusu jamii mojakwamoja.Ushauri wangu kwake ajari kufikiri kwanza kabla ya kutoa tamko lolote na pia atafute ushauri kabla ya kufanya hivyo pia.Mungu ibariki Tanzania.
Siku zote tunasema ni aibu Arusha kuwa na mbunge wenye uwezo finyu kama lema ila watu wanatukana . Afadhali nyie wenyewe mmejionea . Hajui azungumze nini na wakati gani . Ni aibu kuwa na mbunge wa namna hii kwenye mji wa kimataifa kama Arusha . Hata kama ni upinzani sio wa namna hii . Huwezi kumkuta mtu kama mnyika au mbowe wanaongea hovyo kama lema anavyofanya.
Siwezi kumlaumu yeye maana uwezo wake kielimu ni mdogo sana ndio maana anashindwa kuchambua mambo kiupana .