Msijiingize ktk siasa na kuchagua chama cha kufanyia siasa kama mwanachama.
Mkitaka kuingia ktk siasa basi msibase sehemu moja ya siasa.
Mkiingia ktk siasa kama sheikh Ponda wa Act wazalendo na sheikh Kadogoo wa Chadema heshima itaondoka na itapotea inamaana mtazungumza kwa maslahi ya vyama na mtanunuliwa kirahisi sana.
Matamshi yenu kila siku jamii itayashangaa
Huu ushauri ungewapatia kwanza wale Masheikh wenzako wa Bakwata, ambao kupitia tu sahani za ubwabwa; kila siku mnafungamana waziwazi, na pia kutumiwa vibaya na ccm.