Hao wakuu wa mikoa wenyewe wanasikiliza ushauri wa Maras? Hapo ndo kizunguzungu kinapoanzia, wakuu wa mikoa kwa sasa wapo busy na Media ili waonekane wanafanya kazi hata kama hakuna wanalofanya. Huoni mwingine anaamrisha bank impe waliokuwa wanapokea fedha za watumishi hewa? Jiulize kwa hilo suala dogo namna hiyo RAS alihusishwa japo kutoa ushauri tuu?