madawa makulu
Member
- May 2, 2015
- 48
- 9
Lowasa nakushauri sana uachane mapema na mbio zako za kuutaka uraisi.
Jina lako litakatwa mapema kabla ya fainali!! Ukiangalia mpaka sasa hivi umeshatumia hela nyingi sana na mda mwingi sana kwa ajili ya kujisafisha na kujijenga kwa ajili ya kuwania urais.
Kabla mambo yasijekuwa mabaya zaidi, ningekushauri haraka sana ondoa jina lak ktk kugombea uraisi na ukajiunge rasmi chama cha ACT-Wazalendo ambako mda mrefu umealikwa.
Kwa kufanya hivyo utakuwa umetoka na kundi kubwa la wana CCM na kuhamia huko..Na hata kama hutafanikiwa kupata uraisi safari hii lakini safari ijayo huenda ukafanikiwa.
Endapo utang`ang`ania CCM na jina lako lika katwa basi ndoto yako ya kuwa rais itakuwa imezimwa maishani na hata kama utaamia upinzani baada ya kutemwa hautang`ara tena, utakuwa kama akina Mrema!
Usiwafuate hao wapambe njaa akina Kingunge na wengine.
Hao wako kimaslahi zaidi wanataka kula hela zako tuu
Amesahau yaliyomkuta kikwete 1995, Bilali 2000, data hazitamsaidia kwa ufisadi wakeNinyi ndio bado mnamdanganya na kula hela za Lowasa Unafikiri akipona huko NEC CCM atapona huku mitaani??Kumbuka huku mitaani kuna wana CCM wasiompenda ambao wanajua kiasi gani ali play ktk ufisadi na wasio CCM nao wanahasira nae vilevile lakini kama unataka kula hela za huyo fisadi basi poa tu lakini nakuhakishia Lowasa hapiti
Nakuhakikishia, hata kila m-ccm angelichukua fomu, LOWASA ni kisiki cha mpingo. Mtajikwaa na kung'oka meno hatoki wala hakatwi. Huyo ndo rais wa ccm. Lowasa ndo ccm na ccm ndo Lowasa. Anayemchukia aondoke ccm amwachie mwenyewe. Hiyo ndo habari ya leo. Hao wanachukua fomu ili wampishe mwenye hicho kiti. Ni wapambe wa biarusi hao, wakiwa wengi harusi hunoga zaidi. Mark ma word
Babu maumvi hafai kuwa Rais, kwani ana mapungufu mengi sana.Fisadi, afya mbovu, visasi, makundi, marafiki mafisadi. Mtu huyu kumpatia nchi ni kutosa nchi, kitu ambacho hakitatokea
Lowasa nakushauri sana uachane mapema na mbio zako za kuutaka uraisi. Sababu kundi kubwa la viongozi wa CCM halikutaki, waliokushauri wamekudanganya.
Jina lako litakatwa mapema kabla ya fainali!! Ukiangalia mpaka sasa hivi umeshatumia hela nyingi sana na mda mwingi sana kwa ajili ya kujisafisha na kujijenga kwa ajili ya kuwania urais.
Kabla mambo yasijekuwa mabaya zaidi, ningekushauri haraka sana ondoa jina lak ktk kugombea uraisi na ukajiunge rasmi chama cha ACT-Wazalendo ambako mda mrefu umealikwa.
Kwa kufanya hivyo utakuwa umetoka na kundi kubwa la wana CCM na kuhamia huko..Na hata kama hutafanikiwa kupata uraisi safari hii lakini safari ijayo huenda ukafanikiwa.
Endapo utang`ang`ania CCM na jina lako lika katwa basi ndoto yako ya kuwa rais itakuwa imezimwa maishani na hata kama utaamia upinzani baada ya kutemwa hautang`ara tena, utakuwa kama akina Mrema!
Usiwafuate hao wapambe njaa akina Kingunge na wengine.
Hao wako kimaslahi zaidi wanataka kula hela zako tuu
LOWASSA HAKAMATIKI
Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...
Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....
1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357
2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0
3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2
4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4
5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3
6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1
7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1
8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2
9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0
Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........
Mkuu vipi kuhusu wajumbe wa kamati kuu, walikuwepo wangapi??