Ushauri kwa jeshi la Polisi

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2016
Posts
2,702
Reaction score
3,839
Kupitia jf na ITV habari imejitokeza habari ya wafuasi wa CUF wanaompinga prof Lipumba walivyokimbia baada ya kufutiwa mashtaka

Nimewaona polisi,kwakweli kilichoonekana ni vurugu na aibu kwa jeshi la polisi,kwanini mnakimbizana na RAIA pasipo sababu za msingi?

Nawaomba polisi wakatumie nguvu hizo kuwasaka wapigadebe jijini DSM maana wananchi hawàoni umuhimu wa wapigadebe hao
 
Polisi wa Tanzania wapo kwa kuwa shuhulikia wapinzani tu. Hayo mambo ya usalama wa barabara subiri traffic nae ale rushwa yake. Hii nchi imekuwa ya ovyo sana kwa kuongozwa na Wakolomije na Wachato.[emoji111]




Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Hata sijui kama inafaa kuwaita WANAUSALAMA bora tuwaite WANAUHASAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…