MKALI W MAMBO
Senior Member
- Aug 9, 2018
- 190
- 136
Katika wanaume wapumbavu wewe ni wa kwanza na siwezi kubishana na wewe kamwe kwani hapo kuna sehemu nimeandika wanaume tunaoa kisa papuch hakika wewe ni punga kabisaWw ni m.s.e.n.g.e nan kwa kwa mbia wanaume wanaoa kisa papuchi lijinga ww
Lijinga ww .si umesema wanawake wasipo Toa kipochi .mwanaume atashawishika kuoa. Nautazeekea nyumbani ww usipo badili mawazo yakoKatika wanaume wapumbavu wewe ni wa kwanza na siwezi kubishana na wewe kamwe kwani hapo kuna seheni meandika wanaume tunaoa kisa papuch hakika wewe ni punga kabisa
Aaaaa halafu kwani kutoa kipochi tunatoa kwa ajili ya kuolewa au kwa ajili ni kuwa hitaji muhimu kwa kila mwanadamu mtu mzima?Hawa watoto lazima wajue sex ni basic need kwa watu wazima.Muhimu tu kujua unatoa kwa mtu sahihi?Maana kwa kawaida mwanamke yoyote ni mzuri kwa mwanaume kabla hajamvulia nguo ukivua nguo uzuri unaishaLijinga ww .si umesema wanawake wasipo Toa kipochi .mwanaume atashawishika kuoa. Nautazeekea nyumbani ww usipo badili mawazo yako
Hahahaa u present social CV yako kwenye interview ya mapenzi ili akufanyie assessment😀😀😀Mwingine atataka kujua kabila lako,blood group history ya mababu za mababu zako,financial status yako, sex, childrearing,career and many other issues,kwenu wangapi wameolewa kwenu kuna nini na nini,aaaaa unajishughulisha na nini shughuli unaiweza au msoma gazeti maarufu
Acha tu unaulizwa kwenu kuna zeruzeru wangapi?mlishawahi kuuguza vichaa kwenu jamani wanaume mtuoneage huruma basiHahahaa u present social CV yako kwenye interview ya mapenzi ili akufanyie assessment😀😀😀
Post yako ya kwanza kwenye Uzi hu.ni jibutosha kabisa la kujitosheleza. Ni dada zang wapo home tu age 30+ misimamo yao eti Adi waolewe ndio watoe penzi Adi Leo wamedoda wapo nyumbaniAaaaa halafu kwani kutoa kipochi tunatoa kwa ajili ya kuolewa au kwa ajili ni kuwa hitaji muhimu kwa kila mwanadamu mtu mzima?Hawa watoto lazima wajue sex ni basic need kwa watu wazima.
Halafu hapo yeye hajasema vya kwake utakuta kwao wan vimeo vya kutosha, majambazi wapo, vibaka humo humo, wauza K ndaniii, mateja kibaoAcha tu unaulizwa kwenu kuna zeruzeru wangapi?mlishawahi kuuguza vichaa kwenu jamani wanaume mtuoneage huruma basi
Anasahau kwamba mnaenda tengeneza familia yenu kicycle chenu kabisa hao watu hawawahusu hata kidogo maana hata kama unaumwa hoi upo ndani watakuja kukusalimia jioni nao wataenda kwa familia zao mnabaki nyinyi wawili tu maana hata watoto nao watakuwa shule au wakubwa wana maisha yao.Halafu hapo yeye hajasema vya kwake utakuta kwao wan vimeo vya kutosha, majambazi wapo, vibaka humo humo, wauza K ndaniii, mateja kibao
Sasa mbona mnatoa kwa kutaka pesa wakati mnajua ni itaji la kila mmojaAaaaa halafu kwani kutoa kipochi tunatoa kwa ajili ya kuolewa au kwa ajili ni kuwa hitaji muhimu kwa kila mwanadamu mtu mzima?Hawa watoto lazima wajue sex ni basic need kwa watu wazima.Muhimu tu kujua unatoa kwa mtu sahihi?Maana kwa kawaida mwanamke yoyote ni mzuri kwa mwanaume kabla hajamvulia nguo ukivua nguo uzuri unaisha
Dogo hata kusoma hujanisoma ungenisoma nafikiri usingeandika hiloSasa mbona mnatoa kwa kutaka pesa wakati mnajua ni itaji la kila mmoja
Wapo wapi niwaretee wachumba wanaotaka wanawake wenye kujitambua kama haoPost yako ya kwanza kwenye Uzi hu.ni jibutosha kabisa la kujitosheleza. Ni dada zang wapo home tu age 30+ misimamo yao eti Adi waolewe ndio watoe penzi Adi Leo wamedoda wapo nyumbani
Hivi unajua wanawake walivyo wasanii hakigundua unamchunguza anakuektia na mwanamke alivyo mwepesi utajua huyu ndiye ukija kumuoa utajuuta kumfahamu. Mwanamke mchunguze kimya kimya yeye mwenyewe ajui hapo utapata ukweli wa kila jambo kuusu tabia zakeAnasahau kwamba mnaenda tengeneza familia yenu kicycle chenu kabisa hao watu hawawahusu hata kidogo maana hata kama unaumwa hoi upo ndani watakuja kukusalimia jioni nao wataenda kwa familia zao mnabaki nyinyi wawili tu maana hata watoto nao watakuwa shule au wakubwa wana maisha yao.
Ukichunguza familia zetu za kibongo nyingi zina matatizo yale yale yale hakuna ukoo msafi hata ukiona msafi kwa nje ukichimba sana ndani yale yale tu.
KOSEA VYOTE ILA USIKOSEE KUOA AU KUOLEWA
Waswahili hawajui mtu akishaoa au akiolewa definition ya family inabadilika. Sio tena wewe baba yako mama yako na ndugu zako mliozaliwa pamoja bali ni wewe mkeo/mumeo na wanenu. Tunashindwa kuweka mipaka hasa kwenye familia zinazo embrace extended familyAnasahau kwamba mnaenda tengeneza familia yenu kicycle chenu kabisa hao watu hawawahusu hata kidogo maana hata kama unaumwa hoi upo ndani watakuja kukusalimia jioni nao wataenda kwa familia zao mnabaki nyinyi wawili tu