Hahahahahaaa successful. Plan nilijua Sana kipind kile chadema ilipompoteza zito ikapoteza uelekeo ikaamua kuungana na Cuf baada ya bunge la katiba na baada ya hapo chadema ikawa inanguvu ya Cuf na cdm lakin baadae walitaka kuongeza nguvu kutoka ccm wakamuingeza lowasa kingunge na sumaye na wengneo weng soo sad walipoteza hapa mbaya zaid walimuuzia nafas ya kugombea urais ndugu low ass a hii waidhihirisha unafiki wao na tamaa ya kuu na kukosa msimamo soo sad
Mkuu lipumba alishindw kuyarudia matapish yake Kwa kumnadi lowasa na pia hakutaka kukivunja nguvu chama chake akaamua kukaa pemben na kuwaach vipofu wajiongoze Kwa bahat mbaya walikosa nafas ya urais walioitaka
Lakin baada ya chaguz maalim seif akaanza kuwa kibaraka Wa moja Kwa moja Wa chadema Kama mbatia na kukosa kabisa uelekeo kitu kilichosikitisha zaid akajikuta anapoteza nguvu nying kusimamia ikawa wakatvwenzake wakijenga chama baada ya uchaguz lipumba aliona kupotea Kwa cuf yenye missing yabkutetea haki ya navyenye msimamo na kuamua kurud katika nafas take aliona n aibu Kwa chama kikubwa Kama Cuf kuwa vibaraka wa cdm wakat na wao wanapaswa kuwa na malengo hakutaka kuiona Cuf ikiangamia na kumezwa na cdm na baada ya kurud alijitahid Sana kuirudisha Cuf katika misingi imara lakin bado Wana cuf hawajaelewa ila ni swala LA muda Cuf watajua lengo LA chadema ni nini
Sent using
Jamii Forums mobile app