Ushauri kwa CHADEMA

ASCUDA T

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
33
Mimi Kama Raia Mwema Na Mpenda Mabadiliko Sasa Umefika Wakati Tutambue Kuwa CCM Ndiyo Wenye Dola Na Wanringia Kuwa Na Polisi Wanafanya Kila Kitu Kwa Matakwa Ya CCM.

Kwa Hiyo Basi Tunatakiwa Kutumia Akili Kuwadhibiti Hawa Wenye Dola. Kwa Mfano Kichaa Akichukua Nguo Zako Ukiwa Bafuni Utatoka Na Kumfukuza? Hapana Na Hili Ndo Silaha Yetu Kubwa Kuwadhibiti CCM.

Lakini Pia CHADEMA Inaweza Angalia Mbinu Za Kuongeza Wanachama Wake Kwa Mfano Kuviunganisha Vyama Vyenye Nguvu Mfano Kuunganisha Chadema Na NCCR Mageuzi Ili Kuwakomboa Watanzania Katika Ukoloni CCM.

Nasema Haya Kama Mawazo Yangu Kwa Kuwa Watanzania Wamechoka Kuona Watoto Wa Maskini Wanaangukia Ualimu Lakini Watato Wa Magamba Wakiajiriwa BOT, Tanapa, Tawiri Kwa Mfanao Riz 1 Sasa Ni Mkurugenzi Wa SAMAX NA MENGINE MENGI.

WATANZANIA WANAMTAKA RAIS MWENYE UCHUNGU NA NCHI YAKE NA SI KUONGEZA MADENI AKIDAI KULETA MAENDELEO HUKU UCHUMI UKIPOROMOKA KILA KUKICHA,KUPOROMOKA KWA ELIMU HUKU WATOTO WAO WAKISOMA SHULE BORA NA NJE YA NCHI.

VIONGOZI WA CCM HAWANA HURUMA NA NCHI.
 
chadema ni misukule, janga na msiba mkuu kwa tanzania. tuwakatae hasa
 
chadema ni wauwaji.wamwaga damu na walaghai, wajasiriamali wa kisiasa
 
Usitarajie CHADEMA AKUBASILI HALI YA NCHI. hawa ni wezi tena ni majambazi kuliko ccm
 
Yaani ni heri CCM waendelee kutawala, maana CHADEMA ni zaidi ya CCM Kwa ubadhirifu Wa mali ya uma
 
Lakini Pia CHADEMA Inaweza Angalia Mbinu Za Kuongeza Wanachama Wake Kwa Mfano Kuviunganisha Vyama Vyenye Nguvu Mfano Kuunganisha Chadema Na NCCR Mageuzi Ili Kuwakomboa Watanzania Katika Ukoloni CCM.

.
NCCR Mageuzi ipi unayoongelea weye!!
 
mbona afadhali ya ccm kuliko hao wa cdm. mfano dj mbowe hana mtoto mwenye uraia wa tanzania. afadhali riz 1 ni mtz.


mimi nilidhan unawashauri wanachadema kutoka chadema ili waache kushiriki dhambi na mapigo ya viongozi wa cdm waliomwasi Mungu huku wakiwahadaa watz kuwa cdm ni mpango wa mungu!

ungetoa wito wana cdm wanasimfuate nabii/ padri muasi, slaa na dj mbowe kwani wanaenda kinyume na Mungu kwa kufanya uzinzi na kuhararisha gongo ( dj mbowe +padri muasi slaa) na ushoga hadharan (lema)!
 

Ni kweli kabisa watanzania wanamtaka rais mwenye uchungu na nchi na aliye mtetezi wa wanyonge.

Rais ambaye siyo mchumia tumbo. Ambaye haweki ukabila na ukanda mbele.

Rais asiye kuwa mhuni, mpenda anasa na mfuja mali za chama na umma.

Rais asiyekuwa mnafiki, mbakaji wa demokrasia. Rais asiyekuwa mwongo na mhafidhina.

Mbowe na Slaa hawawezi kuwa viongozi wa watanzania kwani hawana sifa hizo hapo juu. Wataendelea kuwa wapiga pesa kwa mwavuli wa CHADEMA, huku wakiendelea kutumia vijana wa vijiweni kama mtaji wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…