Kwa hiyo lowasa si fisadi?
pole wana cdm kwa uchaguz ambao unaendelea ndani ya chama.Natambua mabadiliko tuyatakayo tutayapata pamoja na hla nyingi za Ccm. Huu ni ushauri wangu ambao ningependa muuchukue yale mema na yale ambayo sio bhasi muuache.
Ningependa kutoa yale nionayo kuhusu jimbo hil ambalo ni kama lulu kwa Ccm na Cdm.kwani ni jimbo ambalo 90% ni Cdm na CCM ni kama hawapo.
-Labda nitangue kwa kusema wananchi wetu hawachagui tu kwa mapenzi ila utendaji pmj .Mfanö Lowasa aliitwa fisadi lakin Bd alichaguliwa kwa kishindo 2010...
-Lema amekuwa kweli mpambanaji wa ukwel pmj na Milya na Mawazo katika maswala ya organizesheni ya vijana.Nafkiri kamati ya ushawish na oganizesheni wangepewa hawa watu.Halafu mgombea ubunge awe Nanyaro.Lengo ni kuwa na mtendaji mzuri kuliko lema ambaye amejikita kwenye nafasi ya kitaifa kuliko ya jimbo.Nafkir mtachambua yale mema,na yale ambyo siyo tuyaache. Wasalaam
Tatizo liko kwa Lema ni mjuaji mkuu amekuja Chadema na maroho ya ugomvi na kugawa wanachama.Mhe Mbowe anamkingia kifua hajui Chadema ndio inakufa,chanzo mvurugaji Lema Mzee wa matamaapole wana cdm kwa uchaguz ambao unaendelea ndani ya chama.Natambua mabadiliko tuyatakayo tutayapata pamoja na hla nyingi za Ccm. Huu ni ushauri wangu ambao ningependa muuchukue yale mema na yale ambayo sio bhasi muuache.
Ningependa kutoa yale nionayo kuhusu jimbo hil ambalo ni kama lulu kwa Ccm na Cdm.kwani ni jimbo ambalo 90% ni Cdm na CCM ni kama hawapo.
-Labda nitangue kwa kusema wananchi wetu hawachagui tu kwa mapenzi ila utendaji pmj .Mfanö Lowasa aliitwa fisadi lakin Bd alichaguliwa kwa kishindo 2010...
-Lema amekuwa kweli mpambanaji wa ukwel pmj na Milya na Mawazo katika maswala ya organizesheni ya vijana.Nafkiri kamati ya ushawish na oganizesheni wangepewa hawa watu.Halafu mgombea ubunge awe Nanyaro.Lengo ni kuwa na mtendaji mzuri kuliko lema ambaye amejikita kwenye nafasi ya kitaifa kuliko ya jimbo.Nafkir mtachambua yale mema,na yale ambyo siyo tuyaache. Wasalaam
Kwanza wewe ni chadema gani chumbani au sebuleni?Jaman tukitaka kufika lazima tukubali facts na sio ushabiki ambao uko biased au falacy.generalization falacy kuwa ukiwa ni mwanachadema basi uko sawa siku zote.kauli yangu ctak back up ya act na ccm.facts speak themselves
Tatizo liko kwa Lema ni mjuaji mkuu amekuja Chadema na maroho ya ugomvi na kugawa wanachama.Mhe Mbowe anamkingia kifua hajui Chadema ndio inakufa,chanzo mvurugaji Lema Mzee wa matamaa
Kwanza wewe ni chadema gani chumbani au sebuleni?
Bila kujali nia ya mleta uzi,Nanyaro yuko smart zaidi ya Lema.Lema ni mzuri ila kwa harakati zaidi.
Kwani uwongo kuwa wewe hujatumwa na magamba?mifano iko mingi.Mfanö akina chenge bado wanapeta,hata rostam angepeta kama asingejiuluzu.Anyway ambao hawataki kusikia haya watasema ooh nimetumwa au vingnevyo
Kwani uwongo kuwa wewe hujatumwa na magamba?
Hebu toa ushahidi beyond reasonable doubt, kama wewe siyo miongoni ya timu ya buku 7 ya pale Lumumba.
Naona magamba mshaanza strategies za kutaka kulikomboa jimbo hilo kwa kutumia kutaka kuwaletea confusion wakazi wa Arusha, ili mind zao ziwe occupied na kufikiria who is the best parliamentary candidate for the year 2015 from CDM camp.
Hata hivyo magamba mnasumbuka bure tu kulihangaikia jimbo la Arusha mjini.
Mtambue kuwa chances za candidate wenu wa ubunge wa Arusha mjini kutoka CCM kumshinda 'jembe' Lema hapo Arusha mjini, nafasi hiyo ni finyu sana kiasi ambacho naweza kuifananisha na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!