Ushauri kuhusu wakimbizi

Ushauri kuhusu wakimbizi

soudymmanyema

New Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
4
Reaction score
1
Habar wana jf mimi nahitaj ushaur na utaratinu wa jinsi nitakavyomsaidia rafiki yangu mkimbizi ,kuna rafiki yangu alipata matatizo huko north sudan baada yakutokea machafuko wazaz wake waliuwawa ,hivyo ikambidi yeye akimbie ili ajinusuru maisha yake na kupata hifadhi katika kambi za wakimbizi nchini senegal, hivi karbun nipata email kutuoka kwake ikinitaka nimsaidie ili aweze kutoka refugee camp na kuja tanzania huku kwangu maana kwa sasa hana ndg wala nini.nawaomba mwene ushaur au mawzo yatakayonisaidia mm kufata taratibu za nchi i nimsaidie ,plz anichek inbox asanteee saana
 
Eti anarafiki yake northern Sudan..
1.huko northern Sudan wewe umefika lin mpaka mkajuana
2. Huyo ni rafiki yako ni me au ke..
 
Tupe mrejesho mkuu, ulifanikiwa kumtoa rafiki yako from a refugee camp?
 
Hapa mtu anaingizwa mjini.umeshamtumia kias gani mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom