Achana na magari ya kizamani tafuta at least gari kuanzia 2003Kuna mtu anauza Terios Daihatsu 1999 2m, anasema changamoto ni gearbox, Tafadhali kwa wazoefu wa hii gari Terios Daihatsu.
Naombeni msaada hasa uimara na ulajiwake wa mafuta
Ingawa ni gari ya kizamani, lakini kama umeipenda ichukue mkuu.Kuna mtu anauza Terios Daihatsu 1999 2m, anasema changamoto ni gearbox, Tafadhali kwa wazoefu wa hii gari Terios Daihatsu.
Naombeni msaada hasa uimara na ulajiwake wa mafuta