MamaParoko ,Pijo bongo zina tatizo la Spare parts na mafundi wa pijo za kisasa hawapo na wale wa zamani wengi wamekufa.ukileta bongo jiandae baadaye kuweka engine ya Toyota corolla.
Pijo,Golf,Ford huwa zinafanyiwa modification na kuwekwa vipuri vya Toyota kwani gari za kijapani spare zipo tanzania nzima na mafundi wa mitaani ni wengi