Chukua kadi yako .
Nenda NSSF tawi liliokaribu nawe kaangalie salio.
Baada ya hapo zinafuata process zifuatazo.
Utachukua fomu ya kujaza nssf ya wilaya uliyokuwa unafanyia kazi kama kinondoni utaenda ubungo.
Utaenda kwa mwajiri kuchukua barua ya kuacha ah kuachishwa kazi yenye muhuri.
Certification of services.
Kiapo cha mahakama .
Picha mbili.
Bank statement
Baada ya hapo unakaa mwezi uingiziwe hela yako