Ushauri kuhusu matumizi ya Technology

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,414
Wakuu ningependa kutoa ushauri wa kujifunza technology kutokana na dunia tuliyo nayo kwa sasa. Kwa mfano kipindi hiki Ni kigumu kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kwa Nchi ya Tanzania.

Hivyo kwa sasa watumiaji wa VPN wamekngezeka. Hivyo tujifunze ugunduzi na ufanisi Katika Technology.
 
Ngoja waje uwape muongozo...

Wewe unafahamu kabisa VPN ni illegal alafu mnataka kufundishana...




Cc: mahondaw
 
Ngoja waje uwape muongozo...

Wewe unafahamu kabisa VPN ni illegal alafu mnataka kufundishana...




Cc: mahondaw
Imeanza lini kua ilegall maana hili swali binafsi silipatii jibu, nakumbuka miaka minne nyuma nilikua natumia vpn kwenye Windows Phone tena nilikua nasett manual acha hizi za kudownload app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…