middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,309
- 1,695
Andaa deed poll mapema kabla ya oralMsaada wakuu kwenye "oral interview" kuhusu majina ya vyeti
Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.
Ushauri wakuu maana oral interview haipo mbali.
Natanguliza shukrani.
Deed poll hatoweza ipata mapema hivyo, aandae tu affidavit of name, atafute wakili amuandalieAndaa deed poll mapema kabla ya oral
Inawezekana kuipata ndani ya wiki Moja aje DMDeed poll hatoweza ipata mapema hivyo, aandae tu affidavit of name, atafute wakili amuandalie
hapo hakuna shidaMsaada wakuu kwenye "oral interview" kuhusu majina ya vyeti
Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.
Ushauri wakuu maana oral interview haipo mbali.
Natanguliza shukrani.
Hakuna tatizo hapo.Tafuta affidavit utasumbuliwa tu hapo
Kama wewe muajiri utumishi sawaHakuna tatizo hapo.
Majina yangu pia yapo kwa mtindo anaouelezea mleta mada.Kama wewe muajiri utumishi sawa