ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 510
- 213
Umenitoa tongotongo mkuu kumbe ndio maana wamepunguza mikwara, acha kesho na mie niendeHongera. Tin number hyo utaitumia ktk biashara zaidi ya 1 hata tgo,aitel na mpesa,genge n.k. ila leseni halmashauri au manispaa kuna afsa biashara atakupa leseni kulingana na aina ya biashara. Hapa tofauti na tra hawakadilii bali kila biashara inajulikana gharama zake. Kwa sasa lesen ni rahisi maana hao jamaa wamepewa masharti ili eafikie kiwango(target)
Hivi hata ukishalipia na kupata leseni bado kuna kodi tena ya kulipia TRA?? Mbona sielewei mwenzenu??!!Ndugu wanajf wiki moja iliyopita nilikuja hapa na kuwashukuru kuwa baada ya kunishauri kuwa nifungue genge kwa kamtaji kangu kale ka sh.350,000/=.Nimefanikiwa kufungua genge kwa sh.100000/=na iliyobaki nimeweka kaduka kadogo nyuma ya genge.Nilienda TRA wanikadirie kodi kwa miezi 6 kwani nina mpango wa kuwa wakala wa MPESA,TIGO PESA ikibidi na AIRTEL MONEY.TRA waliniambia kwa miezi sita nitalipia sh.318,000/=ili nipewe tin number na kuanza kuitumia nilipe kwa pamoja nusu ya kodi hiyo,sh.159,000/=Kwa kuwa mauzo ni mazuri kwani kwa siku nauza kati ya sh.23000 na sh.35000 kwangu hiyo ni pesa kubwa kwani ndo naanza na niko kati ya watu wenye mitaji mikubwa mithili ya mlima kilimanjaro.Nimejipigapiga na jana nimelipia hiyo nusu TRA.Sasa wamenipa TAX CLEARENCE FORM eti nipeleke manispaa wanipe leseni,jamani mwenye uzoefu anielimishe kwani mimi ni muumini mzuri wa kulipa kodi ingawa lengo langu kubwa ni kufanya kabiashara kangu kiuhalali mbona naona kama mambo ni mengi mno?Je,huko manispaa watahitaji nini tena?Leseni ya biashara ni shilingi ngapi?Halafu Tra wameniandikia kwenye fomu yangu RETAIL SHOP,Hicho ni nini wadau?Halafu,kwa kuwa Tin number nimepewa je,naweza kuwaona Tigo,Vodacom na Airtel ili waweze kunisajili na kuwa wakala wao ili nianze kufanya miamala ya pesa?Maana hilo ni miongoni mwa malengo yangu!
Kama mapato hayazidi sh5000 kwa siku maana yake hutakiwi kulipa kodi, kodi unaanza kulipa pale unapofikisha mauzo ya sh 4million kwa mwakakwa mtaji huo kachukue kitambulisho cha machinga elfu ishirini , halafu nyie watu acheni ujinga ukienda tra wakikuuliza mapato yako kwa siku usiwaambie zaidi ya elfu tano ili wakukadirie kodi ndogo
Kiwango cha chini cha kodi TRA ni Sh 150,000 ambapo pato la mlipaji la chini ni Sh 300,000 kwa mwezi.Kama mapato hayazidi sh5000 kwa siku maana yake hutakiwi kulipa kodi, kodi unaanza kulipa pale unapofikisha mauzo ya sh 4million kwa mwaka
Nilisoma mahali humuhumu wakasema kuanzia 4m to 7.5m kwa mwaka ndo unalipa 150k, chini ya 4m hulipi kituKiwango cha chini cha kodi TRA ni Sh 150,000 ambapo pato la mlipaji la chini ni Sh 300,000 kwa mwezi.
Mauzo yako yakiwa chini ya Sh 300k kwa mwezi wao watakupigia hiyohiyo Sh 150k kwa miezi 6
Mimi nilipochukua TIN 2018 mwanzoni, waliniuliza mauzo yangu dukani kwa siku, nikawaambia Sh 10,000, wakanikadiria Sh 150k kwa miezi 6 na nilitakiwa kulipa katika awamu 2Nilisoma mahali humuhumu wakasema kuanzia 4m to 7.5m kwa mwaka ndo unalipa 150k, chini ya 4m hulipi kitu
[emoji15] [emoji15] hawa jamaa mi siwaelewi, mbona ukipiga hesabu kwa mwaka haizidi 4m na wamekulipisha!!! Na hiyo 150k nilijua ni kwa mwaka kumbe ni kwa miezi 6!!! Aaah siendi tena,nimeghairiMimi nilipochukua TIN 2018 mwanzoni, waliniuliza mauzo yangu dukani kwa siku, nikawaambia Sh 10,000, wakanikadiria Sh 150k kwa miezi 6 na nilitakiwa kulipa katika awamu 2
Nenda tu ukaonane nao. Uzuri mnazungumza. Unaweza kuwa unauza Sh 50k kwa siku, ukawaambia Sh 10,000 kwa siku.[emoji15] [emoji15] hawa jamaa mi siwaelewi, mbona ukipiga hesabu kwa mwaka haizidi 4m na wamekulipisha!!! Na hiyo 150k nilijua ni kwa mwaka kumbe ni kwa miezi 6!!! Aaah siendi tena,nimeghairi