Ushauri: Kuhusu laptop ya kununua

Sijaelewa kinachoendelea, ni nani amechange tittle ya huu uzi! inawezekanaje? nipeni maelezo aliyefanya hvyo

moderator kamoderate title... we unaona uliandika sawa? "ushauli" kiswahili gani hiki?
 
Mkuu umeshauri asinunue Acer lkn hukutoa sababu kwa nini asinunue mimi kwa upande wangu hasa nayo ni the best nimewahi kumiliki moja ilikuwa nzuri haikuwa na tatizo na sasa ninayo S7-391-6478 ni nzuri sana japo ni 13.3" lkn nimenunua online kutoka US kwa hiyo sioni ubaya wa Acer km ni orginal hasa matoleo ya nje km US na UK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…