Wakuu naombeni kwa anaejua kuhusu kozi za saikolojia na ushauri vipi soko lake likoje wakuu?
Naipenda hii kozi na udaktari ila nimeamua nifanye tafiti nichague moja.naomba kujua ipi ni bora zaidi kwa maoni yenu wadau.
Zote napenda ila nataka kujua hii saikolojia ikoje huko mtaani?
Mokaze.
Mkuu Safuher, mimi kwa uzoefu wangu mdogo naona udaktari (internal medicine) ndiyo wenye soko kuliko saikolojia na ushauri (ushauri nasaha ?) ukizingatia kuwa bado kuna uhaba mkubwa wa madaktari hapa nchini kuliko psychologists.
Cc: Faiza Foxy na Sky Eclat.
Aiseee nashkuru sana kwa ushauri mkuu.
Udaktari pia wanasoma saikoloji?
Hii kitu naipenda japo sio kaama daktari
AiseeeeeeeMimi nakushauri kapige psychology, soko ni kubwa Sana. Hebu jaribu kuangalia existing and emerging social problems. Watu wanamatatizo balaa, watu wanajinyonga, watu wanafanya maovu, watu hawana control binafsi ya kufanya maamuzi. Madaktari sasa hivi wengi mno
Sijawahi kuona Tangazo la kazi wakihitajika,kazi zao asilimia kubwa wanafanya Social welfare officerWana saikolojia wanakuwa employed serikalini ?
daktari n lazma asome tena anaisoma dip zaid compare to counselor.. coz muda mwengne wanadeal na wagonjwa wenye mgonjwa konk like cancer n.kHapo sijui sana, yawezekana wanasoma kidogo kwa sababu kuna baadhi ya wagonjwa lazima utumie elimu ya psychology uweze kuwafariji na kuwa handle.
Tusubiri watalamu waje.ππ»ππ»
Ahahahhahhahahahhahhhahahhahaahahahahahhahhaahahhahahhahahhahahhahahhhahhahhafahhahhahhahahahahahhhdahhaahahahhahahahahhahahahahhahahahhahhahhhhahhahhhhahhhahhahahahahaahhaahhahhhahahhahhahhhahahhhahhhahahahahhahahahahahahahhahahahhahahahahhahahhahahhahahhahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea unataka kufanya kazi wapi?
Kwa bongo watu wenye matatizo na saikoloji wanajitibu kwa pombe