omarimwinjori
Member
- May 15, 2015
- 11
- 2
Your no has won 1,000,000 Dollars in T.MOBILE PROMO USA to claim send your name, phone no,job, sex to: xxx@example.com
hicho kiingereza kimekosewa, hakuna space baada ya coma, wamarekani wangeandika occupation badala ya neno JOB.
Matapeli ambao shule yao ni ndogo sana, wakikutia kingi hao utakua zaidi ya popoma, jiulize iweje meseji imetumwa na namba ya airtel ? Marekani kuna airtel ????
Ni kweli kabisa, hata mimi nilishinda na nikapewa hela.
Poleni Sana Maana Wanigeria Ndo Wanakaribia Kuwaliza Hivyo. Iogope Sana Hiyo Mesaji Kwani Mahira yake Ni zaidi ya Njaa.
Matapeli wa kimataifa ndugu, kaa nao mbali.Ukitaka kujua ukweli, google t.mobile promo usa.
Hamna kitu hapo ni matapeli mkuu usipoteze muda .....mi nilitumiwa na sipo bongo .....hii kitu ipo dunia nzima ....
hao ni matapeli na me ishawahi kunitokea, nilifuatilia mwishoe nikajihakikishia kua matapeli.