Asaalam wanabodi,
Nakuja kwenu tena nikiomba ushauri kwa yoyote anayejua/ mwenye uzoefu juu ya biashara ya Uuzaji wa mifuko ya Plastics inayotumika katika maeneo mengi ya biashara kama Mabucha, Maduka ya rejareja, Sokoni n.k kwa ajili ya kubebea bidhaa mbalimbali.
Kwa yoyote anayefahamu nataka kufahamu yafuatayo:-
- Upatikanaji wake(Wauzaji wa Jumla eneo walipo)
- Aina ya mifuko husika(Size & Ubora)
- Bei ya kuuzia
- N.k
Mimi niko Arusha, nimeona ni fursa iliyopo nje nje. Asanteni sanaaaaaa
Nahitaji msaada wa Wapi naweza kupata Mifuko ya Mazao ya plastic nitayonunua kwa jumla.. Bei ya kiwandani..anaejua plizz kwa maeneo ya Dar