Wakuu,
asanteni sana mpaka sasa kuna vi2 nimevipata kutoka kwenu,
upande wa it inakupa wigo mpana wa kujiajiri mwenyewe hata kama ajira ni tity,
accounting inawezakukupa option kadhaa zinazohusu kazi za biashara lk banking,finance, marketing etc,
nimewasoma vizuri ndugu