Aman Igalawa
Member
- Jun 30, 2014
- 10
- 13
Jaman kwa anaejua njia bora za kuweza kutoka kwa biashara ya dukan yaan vitu vya kupima kama mchele maarage n.k ushauri wenu pleaz
Kuwa mbahili na usikopesheJaman kwa anaejua njia bora za kuweza kutoka kwa biashara ya dukan yaan vitu vya kupima kama mchele maarage n.k ushauri wenu pleaz