Ushauri kozi ya Agronomy

Ushauri kozi ya Agronomy

isconee

Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
17
Reaction score
1
jamani naomba msaada kwa yoyote anayejua chochote kuhusu faculty inayoitwa agronomy?
 
Bora waje wao mm nackia leo..nijuavy mm karibia course zote za SUA zipo mzuka coz wapo unique kama ARDHI vile..hope umeramba dume ucwe na waswas..
 
SUA hakuna faculty inaitwa Agronomy.
Agronomy ni moja kati ya kozi zinazotolewa na Faculty of Agriculture(FoA)

Its unique only SUA kwa Tanzania.
Huwezi kukosa ajira ukiwa Agronomist.
Kwa Gov rank ya salary ni nzuri hutalialia.
Jiandae kusoma kwa bidii.
 
Hili ndo jibu nililitegemea kutoka kwa wadau wa SUA, nilichanganyikiwa niliposikia faculty of Agronomy!
 
SUA hakuna faculty inaitwa Agronomy.
Agronomy ni moja kati ya kozi zinazotolewa na Faculty of Agriculture(FoA)

Its unique only SUA kwa Tanzania.
Huwezi kukosa ajira ukiwa Agronomist.
Kwa Gov rank ya salary ni nzuri hutalialia.
Jiandae kusoma kwa bidii.

Naunga mkono hoja!! Lakin pia sijui jamaa atakua kasoma kombi gan?? Na kama ni pcb..cbg au hata pcm..patamfaa sana!! Na ijulikane huko watadeal sana na soil!! Soil chemistry soil physics na madude mengne pia atayakuta!!! Ni degree program nzuri sana na future yake iko nzuri!!
 
jamani naomba msaada kwa yoyote anayejua chochote kuhusu faculty inayoitwa agronomy?

nenda dogo kozi ya ukweli...mkopo uhakika facult requirement na mazingira fresh kwa kusoma....nina dogo anapiga agrobuz yani anafurahia sana maisha ya sua...hadi nakuonea donge nenda kapige book...pia dogo anadai kuna maduu wa ukweli hasa pande za mazimbu so unaweza ukajiopolea toto la ukweli..
 
Helo, mie nimesoma agronomy nenda kapambane vizuri ugumuwake ni kama civil engineering vile, kwahyo msuli unahitajika, tulikuwa 26 tu na msichana 1 tu tulipoanza bt wengi walianza kudisco kama mvua tukamaliza 14 akiwepo na huyo msichana ngangali. Ukifika unakutana na physcal chemistry inafundishwa na Elisante, Nkoma, Tungaraza hawa ni wataalamu wa kula vichwa vizembe vinavyofikiri kuchaguliwa chuo ni ufahari baada ya kupiga kitabu, pia utakutana na Maro mtaalam wa soil rocks hii ni kama geology ya COET vile, pia Dr. Kaaya, Kilasala, hao ni waliobobea katika soil chemistry, soil fertility, na kuna practical za kufa mtu kwenye maabara za udongo, jiandae hii ukiendekeza FB, Whatsapp, Viber chat na mengine basi unadisco hata kabla ya miaka 3. Pepa kila jumapili kuanzia saa tano baada ya ibada zinafanyikia pae freedom square, professor atasimama juu ya dawati akikisimamia usiangalizie, pepa ya majibu unapewa ikiwa na mihuri, ukienda toilet jua mgambo wapo wanakusindikiza hello SUA hakuna ulelemama wala cheating wale jamaa hawana huruma Once you are caught gilt you shall be expelled out soon.
 
jamani asanteni kwa ushauri wenu nimejua baadhi ya mambo ambayo ckuyajua ntazingatia ushauri mlionipa
 
jamani naomba msaada kwa yoyote anayejua chochote kuhusu faculty inayoitwa agronomy?

Yap, ni degree programme iliyopo katika faculty of agriculture, inahusika zaidi na maswala ya soil fertility, soil chemistry and conservation pia crop production ( plant biotecnology, plant molecular biology, entomology, plant pathology, weed management, genetics) pia inakuandaa kuwa agriculture Research Officer inahusika na statistics, biometry and research methodology, pia inakuandaa kuwa agriculture extension office( afisa ugani) kwa kujifunza kozi za extension, pia inakuandaa kuwa mjasiriamali( kuendesha kilimo cha kibiashara, utachukua masomo ya uchumi kama elective subjects kama ukipenda) thanks tupo pamoja mkuu
 
napenda sana hyo corse ya agronomy ndoto zangu zitatimia nikisoma hii kitu, ila kwasasa niko kwajobu but mwakani panapomajaliwa sua inanihusu coz ntakuwa nimetimiza vigezo vya kujoin chuo, plz niombeen wanaJF wenzangu niko njiani kuelekea kutimiza ndoto zangu.
 
Karibu sana
FACULTY OF AGRICULTURE
DEPARTMENT OF SOIL SCIENCE
BSC. AGRONOMY
ukutane na wanyama akina prof Mrema
 
nenda dogo kozi ya ukweli...mkopo uhakika facult requirement na mazingira fresh kwa kusoma....nina dogo anapiga agrobuz yani anafurahia sana maisha ya sua...hadi nakuonea donge nenda kapige book...pia dogo anadai kuna maduu wa ukweli hasa pande za mazimbu so unaweza ukajiopolea toto la ukweli..

Atagraduate na ngoma,miaka miwili mitatu kazini kaisha. Harafu biashara inakuwa hailipi yani zero profit.
 
SUA hakuna faculty inaitwa Agronomy.
Agronomy ni moja kati ya kozi zinazotolewa na Faculty of Agriculture(FoA)

Its unique only SUA kwa Tanzania.
Huwezi kukosa ajira ukiwa Agronomist.
Kwa Gov rank ya salary ni nzuri hutalialia.
Jiandae kusoma kwa bidii.

mdanhanye tu...kozi la kijinga sana hilo ...department yake ya soil science ina walimu mabwege sana kuanzia kaaya ,kilasara na msaky....kozi ngumu mno lakini mwisho wa siku unaishia kuwa bwana shamba...nilisoma hiyo kozi mwaka 1998 ...nilijutaaaaaaa....chagua kozi majarabu mdogo wangu nenda food science and technology au agribusiness ...unapiga shule huku unaaangalia mademu wakaliiiiii...sio agronomy kozi wanaume tupu...mxxxxxx
 
Naunga mkono hoja!! Lakin pia sijui jamaa atakua kasoma kombi gan?? Na kama ni pcb..cbg au hata pcm..patamfaa sana!! Na ijulikane huko watadeal sana na soil!! Soil chemistry soil physics na madude mengne pia atayakuta!!! Ni degree program nzuri sana na future yake iko nzuri!!
Samahani hii kozi unaweza kujiajir VP mkuu?
 
Back
Top Bottom