Wapendwa wangu naomba mnishauri nmetokea kuyapenda sana haya magari aina ya Cami coz yapo juu nahic yatakuwa yanafaa hasa kwa hizi Barbara zetu,naomba ushauri kama spear zake je znapatikana na bei hazko juu sana.Mungu awabariki
raky mkuu nimekuwa na cami kwa muda
Sasa na halijanisumbua kwa lolote
...spea zinapatikana bila shida yoyote!!!!!ipo sokoni mkuu bei mil 9....kama vipi ni pm