Anajua peter Member Joined Sep 12, 2016 Posts 96 Reaction score 25 Sep 18, 2016 #1 Habar za wakati huu wana J.F naomba kuuliza,kuna shida gani inaweza kujitokeza kutokana na kubadilisha machaguo ya vyuo (selection) Maana baadhi ya watu wanadai inaweza kupelekea kutochaguliwa na TCU round ya pili
Habar za wakati huu wana J.F naomba kuuliza,kuna shida gani inaweza kujitokeza kutokana na kubadilisha machaguo ya vyuo (selection) Maana baadhi ya watu wanadai inaweza kupelekea kutochaguliwa na TCU round ya pili
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 956 Reaction score 380 Sep 18, 2016 #2 Uongooo
Anajua peter Member Joined Sep 12, 2016 Posts 96 Reaction score 25 Sep 18, 2016 Thread starter #3 Hasante br
M mashishanga JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 611 Reaction score 429 Sep 18, 2016 #4 Uhakika haupo ila kama mtandao unasumbua ni rahisi kubadili halafu machaguo yasionekane
Anajua peter Member Joined Sep 12, 2016 Posts 96 Reaction score 25 Sep 18, 2016 Thread starter #5 Thanx br