Ngoja nikutoe wasiwasi, anakupenda sana, huyo ni wako pekeako, usimzidishie stress huwezijua mchana wake anatumikaje, mda mwengine ishue za hela haziendi vizuri, unaemdai anakuzingua na mambo kama hayo....ndo tupo hivo kwa ufupi....
Sikatai but for how long?
Sikia rafiki yangu mahusiano ya aina yoyote ni kama maua yanataka uyapalilie,uyatunze ndo yananawiri na usipofanya hivo yanakufa!!Huyo mwenzako inaonekana ameshachoshwa na mahusiano yenu kama hashauriki ujue u did what you had to do Hapo hata hamjafunga ndoa,mkifunga ndoa si ndo mtakuwa mnapishana kama hamjuani humo kwenye nyumba .Keti utafakari,je kama hali ipo hivi sasa baadae itakuwaje?Ni muhimu kuwa na mtu ambae mtasikilizana na kuelewana!Kwenye mapenzi unatakiwa uwe creative kuyanogesha!
Fanya hivi...funga mdomo...fanya vitendo....mnaboa na malalamiko..
Ngoja nikutoe wasiwasi, anakupenda sana, huyo ni wako pekeako, usimzidishie stress huwezijua mchana wake anatumikaje, mda mwengine ishue za hela haziendi vizuri, unaemdai anakuzingua na mambo kama hayo....ndo tupo hivo kwa ufupi....
Its time kufanya analysis ya uhusiano wenu. Kuna mambo ukiwa kwenye ndoa unaweza kufanya. Like spicing up the romance and giving your marriage your all. To ensure the romance is alive.
But for a mere boyfriend who doesnt add value to your life let him go. Four years is a long time to be in just a relatonship with no sign of commitment in the near future. You probably don't wanna hear this but its the truth.
sante... let me see
my dear wanaume hawapendi malalamiko kama unampenda na hutaki kumpoteza jaribu kumpa space uone atakupenda mpaka mwisho ila kama unataka muachane endelea kulalama nakuhesabia muda nakwambia,kuwa mvumilivu,jishushe,love and respect your men nilikuwa kama wewe mwanzo ila nilikuja kujua my men need some space,time na pia hapendi malalamiko,muachee afanye kazi alafu ukipata muda wa kuongea nae usilalame tumia huo muda kumuuliza mawili matatu ya job alafu muongee mamboo yetu yale,honey usilalamike kwa mwanaume utampoteza trust me hizo haki sawa zinatukost angalia wazungu wengi ni singe parent na chanzo ni wanawake,just respect him
sante.. u open up my eyes
pole sana my dear kibobo,
hebu jaribu kutikisa kiberiti ba wewe kwa muda, kwanini mzani ulalie kwako tu? kwani wewe ndiye mwenye shida sana ya penzi ama? kwanini uumie wewe tuu?
hebu fumba macho kwa wiki moja uone matokeo, tikisa uone!... If no reaction, ujue basi huna chako kwenye mradi wa mapenzi!