Tumia ushawishi wako, yachimbwe mabwawa makubwa kule kisarawe na Mbezi ambako ndio chimbuko la maji mengi yanayotiririkia jijini mwako. Haya mabwawa yatasaidia kuzuia maji mengi yanayojaa na kuingia jiji kuvamia makazi ya watu hata wasio mabondeni.
Dams are constructed for a specific purpose such as water supply, flood control, irrigation, navigation, sedimentation control, and hydropower. Adam is the cornerstone in the development and management of water resources development of a river basin. www.icold-cigb.net
Tumia sheria ya mipango miji kuondoa walio mabondeni kwa sharti kuwa wapatie viwanja , na sheria itumike kuwakamata endapo watauza'
Kwa tz hiii pale langi tatu mbagala mitaro Tu ya kilwa road imewashinda itakuwa bwawa? Stand ya magari inajaa Maji daladala kupanda mtihani maana wanapaki kwenye hayo maji.kama una laba Kali kushika Mkononi