ushauri juu ya kununua laptop nzuri

scart

Senior Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
104
Reaction score
26
habari.
naomba ushauri wa kitaalamu juu ya kununua laptop nzuri hasa kwa ajili ya masomo.
hasa kwenye specifications na sehemu gani kwa kununulia.
kwa bei ya kama laki nne.
natanguliza shukurani
 
Cheki ukubwa wa hard disk,,ikiwa ina gb nyingi itakusaidia kutunza vitu vingi.
Processor speed,,ram ina gb ngapi?
Betry inakaa na chaji mda gani??
Toleo? Ni pentium ipi,?
Ina uwezo wa kuendeshwa na category ngapi za Window eg xp,Window7 na labda 8.
 
Mkuu ungemueleza badala ya kumuuliza maswali.

Na mimi nisaidie kidogo mkuu, pentium ipi ni nzuri kununua?
 
processor speed ngapi na pentium ipi ni kama standard?
 
processor speed ngapi na pentium ipi ni kama standard?
Hayo maswali sijakuuliza wewe ila jiulize na uulize anaekuuzia hayo maswali upate kitu kizuri,,Prossesing speed ya kuanzia 2.5 kwenda juu inatosha,,pentium 5 na kwenda juu ni safi.
 
habari.
naomba ushauri wa kitaalamu juu ya kununua laptop nzuri hasa kwa ajili ya masomo.
hasa kwenye specifications na sehemu gani kwa kununulia.
kwa bei ya kama laki nne.
natanguliza shukurani
Mkuu kwa ubora zaidi na perfomance ya uhakika modeli hizo hapo :~~~

Core I3 au Core I5 au core I7 Asus , HP or DELL
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…