Barua yng ilinukuuvifungu Na.(8)(3)(f) vya sheria ya utumish wa umma sura 298 kmilvyorekebishwa na sheria Na.18 ya mwaka 2007 ikisomwa kwa pamoja na kanuni Na.107(1) ya kanuni za utumish wa umma 2003, aya Na.13(k) ya taratibu za Uendeshaji utumish wa umma za mwaka 2003 na Kanuni D.55 ya kanuni za kudumu ktk utumish wa umma toleo la 2009 imeamuliwa uhamishiwe ofisi......
Uhamisho huu ni wa mara moja naunapaswa kutekelezwa ktk kipind cha wik 2 tang ulipopokea barua hii mintarafu kifung Na.6(b) cha waraka za Watumishi wa Serkali Na.1 wa 1978.
Mwisho barua ilishaur kuchukua personal data sheet ili kuepuka usumbufu ktk kituo kipya cha kaz.
Hayo ndio maelezo ya barua iliyotoka menejiment ya utumish wa umma, sasa wataalamu mnisaidie kuelewa tafsir na maana ya vifungu hivyo na kanuni hizo.
Pia barua hyo haikuonyesha kwamba uhamisho huo unaanza lin na kuisha kipindi gani, naomba ufafanuzi zaid ktk jambo hili!!