Ushauri juu ya kanuni za utumishi

Ushauri juu ya kanuni za utumishi

JLN

Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
15
Reaction score
5
Mim ni mwajiriwa wa halmashaur moja, baada ya kufanya kaz kwa muda wa mwaka 1 na miez 5 nilipata uhamisho kwa SECONDMENT kuhamia taasisi nyingine ya serikali inayojitegemea,

kipindi nahama toka mwajiri wa awali nilkuwa bado sijapata barua ya kuthibitishwa kazini lakini uhamisho wang huu wa secondment ulifata taratibu zote mpaka barua ya kuhama ilitoka menejiment ya utumish wa umma.

Baada ya uhamisho huo nilpata taarifa kuwa wengine nilioajiriwa nao awali wamepata barua za uthibitisho lakini mimi bado sijapata barua wala taarifa yoyote:

SWALI. Je? Barua ya kuthibitishwa kazin itatolewa na mwajiri wang wa awali au mwajiri mpya(seconment)? Je, endapo miez 12 ya seconment itakwisha, kuna uwezekano wa kupata barua ya kuhamishwa permanently kwenye taasisi hyo mpya hata kama sijapata barua ya kuthibitishwa kazin?

Naomba ushauri wenu wataalamu wa utawala na utumishi!!
 
Kama ulipo sasa ni permanent terms basi ndipo utakapopata barua ya kuthibitishwa kazini. Baada ya mwaka kuisha utapaswa kumwandikia katibu.mkuu wautumishi kuwa utaendelea kukaa kwenye kaziyako mpya auunarudi kwa mwajiri wa zammani.
 
Hapo ulipo ss ndo utapewa hiyo barua Mkuu wala usihofu... Muhimu umefanya bora kuondok huko ualim n sheeedaaa
 
Lazima upitie kipindi cha probabetion cha miezi 12 mwajiri wako mpya(taasisi) atakuandikia barua ya uthibitisho. Ukiona imepita miezi 12 bila barua kuna hatihati ya kurudishwa kwa mwajiri wako wa zamani. Jipange..
 
Kimsing binafs sifikirii kurud kule nilkotoka na pia mwajiri wa awali hafikirii kunitaka nirud kwake tena; wasiwasi wang ilkuw ni juu ya hiyo barua ya kuthibitishwa kazin; naamin hapa nilpo kazi nazimudu vzr na mwenendo wang uko vzr hvyo sitegemei wanirudishe ati kwa kudai nimeshindwa kaz au nimekuwa na mwenendo mbaya.

Najua kwamba baada ya mwaka naweza pata barua ya kuhamishwa permenently lakin nafkiri hii haitakuwa barua ya kuthibitishwa kazi, au barua hyo hyo moja ndio inayoonyesha kuhamishwa permanently na wakat huo huo kuthibitishwa kazin?
 
Mtu mmoja aliniambia kuw ktk secondment ikifika kipind flan natakiwa nimweleze mwajir mpya kuw niko tayar kuendelea naye au narud nilkotoka; pia aliniambia miez 12 ikipita bila taarifa yoyote toka kwa mwajir wa zaman au mwajir mpya basi itakuwa nimehamishwa permanently kwenye taasis hyo.

Swali: ni baada ya miez mingap napaswa kumweleza mwajir wang kusudio lang kuendelea kutumikia Taass hii mpya?
 
Mzee wa ngada.

Hiv utaratibu mwajir mpya ananirudisha menejiment ya utumish wa umma au ananirudisha moja kwa moja kwa mwajir wang wa zaman? Je hakuna uwezekano kwa menejment ya utumishi kunihamia taasis nyingne inayohitaji watu wenye taaluma au ujuz wang?
 
Mtu mmoja aliniambia kuw ktk secondment ikifika kipind flan natakiwa nimweleze mwajir mpya kuw niko tayar kuendelea naye au narud nilkotoka; pia aliniambia miez 12 ikipita bila taarifa yoyote toka kwa mwajir wa zaman au mwajir mpya basi itakuwa nimehamishwa permanently kwenye taasis hyo.

Swali: ni baada ya miez mingap napaswa kumweleza mwajir wang kusudio lang kuendelea kutumikia taass hii mpya?

Barua yako ya secondmet haijakuonyesha muda wa ww kukaa huko kupya. Mm ninachojua barua inaandikwakuwa unepewa muda gani wa huko kuazimwa na ufanye nn baada kqma utaamua kubaki.

Ndo maana nikakuambia kwenye mchango wangu hapo mwanzo kuwa utapaswa kutoa taarifa kwa katibu mkuu kuwa utabaki kwa mwajiru mpya baada ya muda wa secondment kuisha.
 
Barua yng ilinukuuvifungu Na.(8)(3)(f) vya sheria ya utumish wa umma sura 298 kmilvyorekebishwa na sheria Na.18 ya mwaka 2007 ikisomwa kwa pamoja na kanuni Na.107(1) ya kanuni za utumish wa umma 2003, aya Na.13(k) ya taratibu za Uendeshaji utumish wa umma za mwaka 2003 na Kanuni D.55 ya kanuni za kudumu ktk utumish wa umma toleo la 2009 imeamuliwa uhamishiwe ofisi......

Uhamisho huu ni wa mara moja naunapaswa kutekelezwa ktk kipind cha wik 2 tang ulipopokea barua hii mintarafu kifung Na.6(b) cha waraka za Watumishi wa Serkali Na.1 wa 1978.

Mwisho barua ilishaur kuchukua personal data sheet ili kuepuka usumbufu ktk kituo kipya cha kaz.

Hayo ndio maelezo ya barua iliyotoka menejiment ya utumish wa umma, sasa wataalamu mnisaidie kuelewa tafsir na maana ya vifungu hivyo na kanuni hizo.

Pia barua hyo haikuonyesha kwamba uhamisho huo unaanza lin na kuisha kipindi gani, naomba ufafanuzi zaid ktk jambo hili!!
 
Bado nasubir ufafanuz mzr toka kwa wataalam wa utumishi na utawala; nisaidien ili nijue nin cha kufanya mapema!
 
Bado nasubir ufafanuz mzr toka
kwa wataalam wa utumishi na utawala; nisaidien ili nijue nin cha
kufanya mapema!

Brother... Maafisa Utumish wengi ni Serikali siyo rahisi kuweka full data hadharan. Wamekula viapo vya utii na usiri huenda maelezo unayotaka yana usiri ndio maana hawayaweki bayana.
 
Kama uliruhusiwa kwenda secondment bila kuthibitishwa kazini afisa aliyekuruhusu hajui kazi yake
 
Mtu mmoja aliniambia kuw ktk secondment ikifika kipind flan natakiwa nimweleze mwajir mpya kuw niko tayar kuendelea naye au narud nilkotoka;

pia aliniambia miez 12 ikipita bila taarifa yoyote toka kwa mwajir wa zaman au mwajir mpya basi itakuwa nimehamishwa permanently kwenye taasis hyo.

Swali: ni baada ya miez mingap napaswa kumweleza mwajir wang kusudio lang kuendelea kutumikia taass hii mpya?

Hebu isome tena barua yako ya Katibu Mkuu-Utumishi. Lazima inakwambia baada ya mwaka mmoja wewe utapaswa kuamua kuendelea na mwajiri wa sasa au Mwajiri wako naye aamue kuendelea na wewe au kukurudisha ulikotoka.

Kuthibitshwa kazini inategemea kama huko uliko sasa ulihamia au uliajiriwa upya....Unaweza kuni PM tushauriane zaidi as nina experience kidogo twaweza share
 
Ifatilie barua yako ya uthibitisho kazin katika masharti ya kudumu, maana hata kama ya uhamisho uliipata kwa kufata vigezo vyote bado hailalish uwepo wako kama muajiriwa. Nadhan hizo ni miongon mwa barua tatu muhimu kwa mwajiriwa wa serikalin....alafu umechelewa kufatilia, mwaka mzima
 
Mwihadisa; km hutajali naomba unisaidie namna ya kuku PM, sjui nafanyaje ili kupata maqasliano yako!
 
Barua yng ilinukuuvifungu Na.(8)(3)(f) vya sheria ya utumish wa umma sura 298 kmilvyorekebishwa na sheria Na.18 ya mwaka 2007 ikisomwa kwa pamoja na kanuni Na.107(1) ya kanuni za utumish wa umma 2003, aya Na.13(k) ya taratibu za Uendeshaji utumish wa umma za mwaka 2003 na Kanuni D.55 ya kanuni za kudumu ktk utumish wa umma toleo la 2009 imeamuliwa uhamishiwe ofisi......

Uhamisho huu ni wa mara moja naunapaswa kutekelezwa ktk kipind cha wik 2 tang ulipopokea barua hii mintarafu kifung Na.6(b) cha waraka za Watumishi wa Serkali Na.1 wa 1978.

Mwisho barua ilishaur kuchukua personal data sheet ili kuepuka usumbufu ktk kituo kipya cha kaz.

Hayo ndio maelezo ya barua iliyotoka menejiment ya utumish wa umma, sasa wataalamu mnisaidie kuelewa tafsir na maana ya vifungu hivyo na kanuni hizo.

Pia barua hyo haikuonyesha kwamba uhamisho huo unaanza lin na kuisha kipindi gani, naomba ufafanuzi zaid ktk jambo hili!!

Ingesaidia kama ungetaja ulipokuwa umeanzia kazi na ulipo sasa, kwani kwa haraka haraka naona hiyo barua siyo ya Secondment bali transfer ya kituo, ndo maana unaona mambo ya data sheet hapo. Kwa uelewa wangu secondments ni pale mtumishi wa serikali anapopewa kibali na utumishi kwenda kufanya kazi kwenye private institutions.Ndiyo maana barua ya secondment inaelekeza mhusika afutwe kwenye payroll na pia ina muda maalumu (5yrs?).Pia promozions zako zote zinasimama.
 
Back
Top Bottom