eliudy josephy naamany
Member
- Sep 1, 2016
- 27
- 4
Niliomba ualimu na phamace sasa nilichaguliwa ualimu ndo nilikuwa na waza kama inawezekana na kusoma phamaceNacte uliomba kozi gani??
Nimepangwa arts advance kaka unasababu za kuniambia nisome advance je future ya arts ni ipiNenda advance tu..
Nimepangwa arts advance kaka unasababu za kuniambia nisome advance je future ya arts ni ipiNenda advance tu..
Hapo nadhani physics imekupunguzia sina za kuchaguliwa kirahisi pharmacy nenda tu kapige ualimu maslahi ya walimu yataongezekaNiliomba ualimu na phamace sasa nilichaguliwa ualimu ndo nilikuwa na waza kama inawezekana na kusoma phamace
Asante sana brow mungu akubarikiHapo nadhani physics imekupunguzia sina za kuchaguliwa kirahisi pharmacy nenda tu kapige ualimu maslahi ya walimu yataongezeka
Niliomba ualimu na phamace sasa nilichaguliwa ualimu ndo nilikuwa na waza kama inawezekana na kusoma phamace
Utaiweza hio pharmacy ikiwa tu hata ku spell 'pharmacy' bado kazi.
Somea ualimu hiyo advance na arts subjects unapoteza opportunity ya ajira mapema etiNimepangwa arts advance kaka unasababu za kuniambia nisome advance je future ya arts ni ipi
Asante mkuuSomea ualimu hiyo advance na arts subjects unapoteza opportunity ya ajira mapema eti
Asante mkuu ila hiyo coz inaruhusu bila physicsKozi za afya bila kuwa na ufaulu at least D kwa Physics hawakuchagui nenda tu ualimu,kwa kuwa mpaka hivi sasa A level hujaenda ila kama uko vizuri kichwani ungeenda A level maana utakuwa na uwanja mpana wa kwenda Vyuo vikuu na hata huo ualimu ukausoma ngazi ya Degree.
2. Technician certificate level Nursing, Clinical medicine, Environmental health and Pharmaceutical Sciences Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including ‘D’ passes in Physics/Engineering Sciences, Chemistry and Biology;Asante mkuu ila hiyo coz inaruhusu bila physics