πππππππPCB shule za JPM sidhani, anaweza chaguliwa HK huko, maana ukisha kuwa na D msala huo.
Ila akipata hata HK huko anabadilisha tu combination anasoma PCB kikubwa nafasi apate ya skul.
Akifika skul lazima atoke na B ya physics huyo ni jembe hakuna wasi wasi
Sasa hapa anasoma PCB ili awe nani baadaye. Kwa hizo marks hawezi kuchaguliwa degree ya afya yeyote.Habari Jf,
Nina kijana wangu kahitimu elimu ya secondary mwaka 2020 kwa ufaulu ufuatao;
Physics-D
B/Mathematics-D
Civics-C
Chemistry-C
Geography-C
History-C
Biology-B
Kiswahili-B
English-B
Div- II:18
Je anaweza soma PCB
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye counter book la notes unaandika"Road to MUHAS"...
Mtafutie college dogo akasome diploma ya field anayotaka. PCB adv sio mchezo anapotezwa mda tu. Km udactari aende diploma then degreeHabari Jf,
Nina kijana wangu kahitimu elimu ya secondary mwaka 2020 kwa ufaulu ufuatao;
Physics-D
B/Mathematics-D
Civics-C
Chemistry-C
Geography-C
History-C
Biology-B
Kiswahili-B
English-B
Div- II:18
Je anaweza soma PCB
Hahaha..wengi waliokuwa wanaandika hivyo walikuwa wanaishia kwenda kushika chaki..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa naogopa kuweka status ya namna hiyo kuhofia isije ikawa tofauti.
Ila mwisho wa siku nilikanyaga ardhi ya MUHAS, kilichobaki kikawa hitoria
Kabisa mkuu, wachache sana walioweza kutimiza hiyo ndotoHahaha..wengi waliokuwa wanaandika hivyo walikuwa wanaishia kwenda kushika chaki..
π·π·π·π·π·π·π·[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa naogopa kuweka status ya namna hiyo kuhofia isije ikawa tofauti.
Ila mwisho wa siku nilikanyaga ardhi ya MUHAS, kilichobaki kikawa hitoria
Mpelekeni aanze diploma ya Clinical Medicine kwa gharama yeyote asiende advance kwani akienda advance kwa hizo marks atapoteza muda wake tu hata kama akipata div one ya 7.Anataka awe daktari
Mtoto akililia wembe, mpe...Dah! yeye kang'ang'ania advance