Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 227
- 393
Weka link ya App kukushauri kutaanzia hapo pia ,app ina kipa kwa njia gani, unalipisha umeweka ads au ?Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo Mwanza. Sasa nataka nivute laki tano chapu kwenye mfuko wa mauzo yake, niipromote hii app na ndani ya wiki niwe nauwezo wakuilejesha hela yake kabla hajanishtukia. Naamini nikiweza Kutengeneza downloads laki moja playstore, haitokua ngumu kurudisha hicho kiasi au na zaidi.
App inamfumo kama wa YouTube 100%, sasa nilikua naomba ushauri wa mfumo gani nitumie kuipromote kwa haraka nakufikia hayo malengo. Kiupande wangu nilikua nafikilia kuwatumia ma tiktoker kama clam vevo au Steve mweusi sema naona Balance ndo inakataa!!!
Msaada wa ushauri jamani nisije fukuzwa nyumbani [emoji26][emoji23]
JF walivyonawivu nikiwekaga tu link wanafuta na post yangu. Bongo Contents - Apps on Google PlayWeka link ya App kukushauri kutaanzia hapo pia ,app ina kipa kwa njia gani, unalipisha umeweka ads au ?
Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo Mwanza. Sasa nataka nivute laki tano chapu kwenye mfuko wa mauzo yake, niipromote hii app na ndani ya wiki niwe nauwezo wakuilejesha hela yake kabla hajanishtukia. Naamini nikiweza Kutengeneza downloads laki moja playstore, haitokua ngumu kurudisha hicho kiasi au na zaidi.
App inamfumo kama wa YouTube 100%, sasa nilikua naomba ushauri wa mfumo gani nitumie kuipromote kwa haraka nakufikia hayo malengo. Kiupande wangu nilikua nafikilia kuwatumia ma tiktoker kama clam vevo au Steve mweusi sema naona Balance ndo inakataa!!!
Msaada wa ushauri jamani nisije fukuzwa nyumbani [emoji26][emoji23]
Hakunaga mambo ya kienyeji enyeji namna hii when it comes to real bizness, hayapo bwashee. In a week app ijiendeshe??Sasa nataka nivute laki tano chapu kwenye mfuko wa mauzo yake, niipromote hii app na ndani ya wiki niwe nauwezo wakuilejesha hela yake kabla hajanishtukia. Naamini nikiweza Kutengeneza downloads laki moja playstore, haitokua ngumu kurudisha hicho kiasi au na zaidi.
Kwa hiyo bajet yako ya 500k? Ukamlipe msanii wako huyo na ilete return within a week?? Hata ukiishia darasa la 7 huwez piga hesabu hizi bwana mdogo... Kiupande wangu nilikua nafikilia kuwatumia ma tiktoker kama clam vevo au Steve mweusi sema naona Balance ndo inakataa!!!
Sema wabongo tu niwabaili, kama kuna Service ya 15,000 wakilipia tu watu 40 c inarudi.Hakunaga mambo ya kienyeji enyeji namna hii when it comes to real bizness, hayapo bwashee. In a week app ijiendeshe??
Kwa hiyo bajet yako ya 500k? Ukamlipe msanii wako huyo na ilete return within a week?? Hata ukiishia darasa la 7 huwez piga hesabu hizi bwana mdogo..
Eyce Njoo mpe mwongozo
IShu ni kipi hasaaa cha kuwafanya hao 40 wanunue huduma kwako na kwingine?Sema wabongo tu niwabaili, kama kuna Service ya 15,000 wakilipia tu watu 40 c inarudi.
Icho kipiii nitakipambania mm, ndo maana natafuta njia yakupata hao watuIShu ni kipi hasaaa cha kuwafanya hao 40 wanunue huduma kwako na kwingine?
Promote App kwa 500K, ndani ya week oleate mrejeshoMzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo Mwanza. Sasa nataka nivute laki tano chapu kwenye mfuko wa mauzo yake, niipromote hii app na ndani ya wiki niwe nauwezo wakuilejesha hela yake kabla hajanishtukia.
Download 100K mzee ndani ya week tena kwa bajeti ya 500K...Super ConfusingNaamini nikiweza Kutengeneza downloads laki moja playstore, haitokua ngumu kurudisha hicho kiasi au na zaidi.
YouTube in Tanzania upo serious kweliApp inamfumo kama wa YouTube 100%,
Hata pesa huna unafikiria ma Influencers kama hao ambao hata kwa hio 500K halitoshi na in which timelinesasa nilikua naomba ushauri wa mfumo gani nitumie kuipromote kwa haraka nakufikia hayo malengo. Kiupande wangu nilikua nafikilia kuwatumia ma tiktoker kama clam vevo au Steve mweusi sema naona Balance ndo inakataa!!!
Msaada wa ushauri jamani nisije fukuzwa nyumbani [emoji26][emoji23]
Boss hapo sioni ushauri ulio utoa zaidi yakuongea pumba tu, unajikuta mchambuz sana! app yenyewe hujaiona.Promote App kwa 500K, ndani ya week oleate mrejesho
SERIOUS??
Download 100K mzee ndani ya week tena kwa bajeti ya 500K...Super Confusing
Wewe na Yanga au Simba nani Mkubwa na ana populity kacheki App yao alafu ujue maana ya 100K Downloads
YouTube in Tanzania upo serious kweli
Hata pesa huna unafikiria ma Influencers kama hao ambao hata kwa hio 500K halitoshi na in which timeline
Ushauri wangu: Naona umekurupuka kwenye hii field mambo yoote uliyoandika inaonesha haujafanyabreserch kabisa
Kiufupi ni developer na hana marketing au sales experience kwa hiyo vitu vingi anafanya kwa imaginations tu. Tusimkatishe tamaa labda anatakiwa kujifunza in a hard way au akafanya miujiza ambayo wengine hatujawahi kuiona.Hakunaga mambo ya kienyeji enyeji namna hii when it comes to real bizness, hayapo bwashee. In a week app ijiendeshe??
Kwa hiyo bajet yako ya 500k? Ukamlipe msanii wako huyo na ilete return within a week?? Hata ukiishia darasa la 7 huwez piga hesabu hizi bwana mdogo..
Eyce Njoo mpe mwongozo
Mkuu unatengeneza app?JF walivyonawivu nikiwekaga tu link wanafuta na post yangu. Bongo Contents - Apps on Google Play
Eeeh ads, premium subscription na coin purchase
Yah ni kwelKiufupi ni developer na hana marketing au sales experience kwa hiyo vitu vingi anafanya kwa imaginations tu. Tusimkatishe tamaa labda anatakiwa kujifunza in a hard way au akafanya miujiza ambayo wengine hatujawahi kuiona.
Hii idea kwanza sio rafiki na Tanzania ndio maana nikasema ujafanya research achievements mbali kutokuelewa market strategies.Boss hapo sioni ushauri ulio utoa zaidi yakuongea pumba tu, unajikuta mchambuz sana! app yenyewe hujaiona.
Sasa c ungejibu tu hivyo kiutu uzima, sio unajibu kama tuna Bifu. M siwez jifananisha na YouTube boss, alafu hata yangu n Bure hizo n some premium features ambazo hata YouTube inafanya hivyo. In addition kuna market na kuna hobby! Kweli sikufanya research ila nilifata hobby hivyo nitachelewa kukataa tamaa. Hapo point kubwa wenda n mtaji tu wakuipromote ndo sina.Hii idea kwanza sio rafiki na Tanzania ndio maana nikasema ujafanya research achievements mbali kutokuelewa market strategies.
Kwanza achana na hilo wazo For Tanzania tunahitaji App ambzo more basic zina solve real problems si luxurious...You Tube or Video App ni luxurious for Tz njoo na kitu kama App ya kutatua tatizo la ajira mbali na kuwa na potential pia kwa data za research kwa Tz Ajira ndio bidhaa inayoongoza kutafutwa Tz....People looking for employments.
Ungekuja na wazo kama hilo tu kabla sijaangalia mengine ningejua huyu kweli yupo serious kuwekeza kwenye Technology.
Pia, Monetization inaonesha hujafanya research YOU TUBE ni Shark katika App za Video na watu hawalipi wewe unataka walipie tena 15000
Nitaendele nipo kikao....
Na ndo maana nimeuliza nifanyej kwenye kuimarket. Kila mtu ana hobby au occupation yake, huwezi jua vyote. Sasa nyie badala ya ushauri mnazielezea hatua nilizozichukua. Duuh!Kiufupi ni developer na hana marketing au sales experience kwa hiyo vitu vingi anafanya kwa imaginations tu. Tusimkatishe tamaa labda anatakiwa kujifunza in a hard way au akafanya miujiza ambayo wengine hatujawahi kuiona.
Ulishawahi kulipia consultation fee ukajua huwa ni kiasi gani. Humu nimekuja kwa mention ila kwa lugha unayoitumia ni kama ni lazma watu kukusaidia mawazo yao. Kitu ambacho si kweliNa ndo maana nimeuliza nifanyej kwenye kuimarket. Kila mtu ana hobby au occupation yake, huwezi jua vyote. Sasa nyie badala ya ushauri mnazielezea hatua nilizozichukua. Duuh!
Wee! Kuna AI ngapi mpaka sahivi, alafu nitoe hela kwaajili ya consultation c Bora nikale bata hio hela. Watu wanakuja namaneno ya shobo alafu niwe mpole ety ushauri. M nachojua marketing haifudishwi mfuko tu ndo unao ongea. Nitajitafutaaa!!!Ulishawahi kulipia consultation fee ukajua huwa ni kiasi gani. Humu nimekuja kwa mention ila kwa lugha unayoitumia ni kama ni lazma watu kukusaidia mawazo yao. Kitu ambacho si kweli
Jifunze kuwa open kujifunza na kutotumia lugha za ujuaji au kuwa defensive sana kwa sababu watu wengine wanaweza kutaka kutoa mawazo yao ila kwa majibu yako, wakaamua kupita kimya kimya.
Hakuna aliye entitled kukupa mawazo yao ambayo wameyapata kupitia experience yenye blood and sweat. Mkuu be humble
Duuh! ndo nimeanza kukuelewa. [emoji26]Hii idea kwanza sio rafiki na Tanzania ndio maana nikasema ujafanya research achievements mbali kutokuelewa market strategies.
Kwanza achana na hilo wazo For Tanzania tunahitaji App ambzo more basic zina solve real problems si luxurious...You Tube or Video App ni luxurious for Tz njoo na kitu kama App ya kutatua tatizo la ajira mbali na kuwa na potential pia kwa data za research kwa Tz Ajira ndio bidhaa inayoongoza kutafutwa Tz....People looking for employments.
Ungekuja na wazo kama hilo tu kabla sijaangalia mengine ningejua huyu kweli yupo serious kuwekeza kwenye Technology.
Pia, Monetization inaonesha hujafanya research YOU TUBE ni Shark katika App za Video na watu hawalipi wewe unataka walipie tena 15000
Nitaendele nipo kikao....