tatizo ant virus kwenye android ni just app kama app nyengine haipewi nguvu ya kuziondolea apps nyengine permission au kujua app inafanya nini chini kwa chini. mfano unakuta ant virus yenyewe haina hata acess na system files wakati malware yupo system files, huyo malware ataichezea ant virus kadri atakavyotaka. hivyo ni vyema tu ukabadili tabia yako mwenyewe mtumiaji na kuachana na idea ya ant virus.