Mnapopeana raha tumieni sauti ndogo, mnatukera majirani

Mnapopeana raha tumieni sauti ndogo, mnatukera majirani

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
Week 3 zilizopita nikiwa Tz nikaenda kulala uswahilini msibani doh nilikoma, baada ya msiba kuisha watu wakaondoka tanga limevunjwa tukabakia ndugu wa mwisho mwisho kesho tusepe.

Usiku tumelala saa 8 nasikia makelele kushtuka nasikia watu wanaongea " inateleza bwana chomeka vizuri basi"

Doh msichana analalamika jamaa anapigapiga tu nanilii sijui ndio kakolea au?

Nawashauri ndugu zetu uswahili mnapopeana raha tumieni sauti ndogo majirani tumelala jamani.

Unajua sikulala kabisa nashangaa kumekucha.

Watu wengine sijui wakeje doh!

Sirudi tena uswahilini nimekoma!

Money Talk Nalendwa Shunie Ngosha Mashine Vladimirovich Putin Jiwedogo
 
Wewe ukienda kulala uswahili uweke headphone huku tumezoea sisi tu

Bila kulia mwanamke bado haujachanganya mchezo mpaka aanze tu kukema ndo unatumbukiza sasa

Njoo udinywe uone utamu wake

Teh
Hahahahha nimekoma Sirudi tenaa
 
Wewe ukienda kulala uswahili uweke headphone huku tumezoea sisi tu

Bila kulia mwanamke bado haujachanganya mchezo mpaka aanze tu kukema ndo unatumbukiza sasa

Njoo udinywe uone utamu wake

Teh
Next time bora ninunue msiba niulete kwetu uswahili bye bye
 
Kwenye hiyo kitu huwez tumia sauti ndogo kwanza hainogo hata, wanasema makelele hunogeshaaa lakini sio makelele ya mwanaume hatupo mpirani pale

Hivi kilichokufanya usilale ni nini, natumia ulivyofika Home ulienda washroom kuoga kwa baridi ile ya msibani
 
Nilifatwa Na gari nikalala kwenye gari nikashtuka baada ya masaa 2 nimelala kitandani kumbe mume alinibeba

Heri mkesha wa kanisa kuliko mikelele ya mechi
 
Tatzo kwenye mechi unaweza ukastukia mwenzio amejiwekea loudspeaker akinogowa,na mbaya zaidi akifikia kukoj.oa,,lakn usiwalaumu sana kwa walichokifanya ,walikuwa wanapoza maumivu ya msiba,si unajua msiba unavyouma..
 
Back
Top Bottom