Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
^^
Mwambie wazi akiitoa unamwacha. Na hauko tayari kushiriki mauaji.
Eti College? Eti wazazi watasemaje?
Hivi huko vyuoni wanasoma nini?
Pokeeni matunda ya starehe zenu kwa moyo wa ukubalifu.
^^
Nna mpenzi wangu sema tuko mikoa tofauti.Tulpanga tukutanane baada ya kutoonana mda mrefu kdogo.Alisistiza kwamba hatutafanya chochote ila niili tuongee tu.Tulvyokutana nikamshawishi hadi tukafanya na baadae ndo akashtuka alikuwa kwenye siku mbaya(siku ya 11).Anavyodai atakuwa ameshka mimba.Sasa anasema anataka akaitoe kama kapata kwan anasoma bado (college) na anaogopa wazaz watasemaje.Mimi ctaki aitoe kama atakuwa nayo ila anaonekana haelewi na nna wazo akiitoa namuacha. Wandugu hebu nipeni ushauri hapo nifanyeje.

Mkiambiwa acheni uzizinzi/uasherati mnatoa puvu,akimwaga damu itamlilia daima aacha mchezo huo,na wewe oa acha kuharibu watoto wa watu je angekuwa binti yako ungefurahi.....apandacho mtu ndicho atavuna.
Aitoe kwasababu gani? Asithubutu kuitoa mwambie hapo mshafanya dhambi ya Uzinzi bado tena anataka kuua!!!! Mwogopeni Mungu
Nakuunga Mkono mkuu.. Kwa gharama yeyote usikubali kuutoa huo ujauzito kama upo.
Ukikubali yafuatayo yanaambatana nanyi.
1.. Kumharibu mwenzako.... kuna vilio vingi vya waliotoa mimba na hawakubahatika tena... waliobahatika ni wachache tena waliotumia njia salama.
2. Mnaingia kwenye LAANA mbaya sana ya KUUA Mtu ni uhai.. kuukatisha uhai wa mtu mwingine bila kujalisha ni wa mwezi mmoja au miaka mingapi... Damu yake itadaiwa mikononi mwenu mlioshiriki.
2. Kipi ni aibu zaidi... Kuonekana na Mimba au KUUA kiumbe hai? Chukua juhudi kumfungua ufahamu wake...
Nna mpenzi wangu sema tuko mikoa tofauti.Tulpanga tukutanane baada ya kutoonana mda mrefu kdogo.Alisistiza kwamba hatutafanya chochote ila niili tuongee tu.Tulvyokutana nikamshawishi hadi tukafanya na baadae ndo akashtuka alikuwa kwenye siku mbaya(siku ya 11).Anavyodai atakuwa ameshka mimba.Sasa anasema anataka akaitoe kama kapata kwan anasoma bado (college) na anaogopa wazaz watasemaje.Mimi ctaki aitoe kama atakuwa nayo ila anaonekana haelewi na nna wazo akiitoa namuacha. Wandugu hebu nipeni ushauri hapo nifanyeje.
Nmeamua mkuu kama akikubal asiitoe mie nko tayari kumuoa,cko tayar kuona apate shda kwa sababu yangu.Nshamueleza tumefanya kosa ndio ila tusrekebsha kwa kuongeza kosa(kuitoa).