Ni mashine kuna siku nilikuwa naenda rusumo toka dar niliipanda ilikuwa IT ni mashine huwezi kufananisha na uchafu hariaNi ni fact ya kwanza why naipenda kuliko harrier, but kuna mambo mengine niliyotaja hapo juu nataka kujua zaidi.
Asante, kwa hiyo ni very comfortable na stable kuliko harrier.Ni mashine kuna siku nilikuwa naenda rusumo toka dar niliipanda ilikuwa IT ni mashine huwezi kufananisha na uchafu haria
Chukua acha mawazoAsante, kwa hiyo ni very comfortable na stable kuliko harrier.
Now,
1. Vipi kuhusu mafundi wanapatikana, spears najua kwa dunia ya sasa sio shida
2. Vipi kuhusu hizi za petrol kuwa na mileage ndogo ukilinganisha na diesel, za petrol zina shida yoyote??
Ukianza ku question hutanunua kitu kizuri kama una mawazo vuta haria Haina mambo mengiHahahahaha, sina mawazo. Actually ni gari nayoipenda sana.
Sema nauliza tu kuhusu hizo concerns.
[emoji23][emoji23]Usinilulize sababu,chukua Hyundai Sante fe 2014,naikubali sana...
Kaka bora uchukue toyota harrier kwanza mafundi wa uhakika vipuli vya kutosha anaconda kwenye barabara imetulia mafuta inanusa ikiwa HYBRID.. yaani ndani ina muonekano mzuri piaWakuu kwema??
Ndugu yenu nimechoka Sedans, sasa nataka niingie kwenye hizi Midsize SUV.
Ushauri kati ya Harrier anaconda (2014) na Hyundai (2014) ipi iko vizuri Comfortability, Stability, Reliability, Maintenance (Mafundi na spare kwa Hyundai)
Hizi zite bajeti yake nimeona inacheza kwenye 50m hadi 70m huko.
Ushauri mwenye kuzijua hasa huzi hyundai nimependa zimekaa vizuri sana.
Pia naomba niulize, Kwanini Hyundai zinazotumia Petrol mileage yake ni ndogo sana around 50,000 kishuka chini tofauti na za Diesel??
Msaada wenu ndugu zangu
View attachment 2696568View attachment 2696567
Ukipata ya hybrid ni better ZaidAsante sana, shida yangu nataka nijue
1. Mafundi wa uhakika wapo??
2. Kwanini za Petrol mileage ni ndogo kuliko za Diesel?? Je za petrol zina shida au??