I Ilambo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 475 Reaction score 89 Jun 4, 2014 #1 Wana jf.mi ni mwanaume Nina ------ makubwa utafikiri dem et. mpaka najisikia vibaya nikichomekea ninavyotuna nyuma. Nawaombeni ushauri nitumie dawa/mazoez gani I'll angalau yapungue?
Wana jf.mi ni mwanaume Nina ------ makubwa utafikiri dem et. mpaka najisikia vibaya nikichomekea ninavyotuna nyuma. Nawaombeni ushauri nitumie dawa/mazoez gani I'll angalau yapungue?
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,580 Jun 4, 2014 #2 Ilambo said: have wana jf.mi n mwanaume Nina ------ makubwa utafikir dem et. mpska najisikia vibaya nikichomekea ninavyotuna nyuma.nawaomben ushaur nitumie dawa/mazoez gan I'll angalau yapungue Click to expand... fanya utafiti wahindi wanapenda kula nini. jibu utalipata.
Ilambo said: have wana jf.mi n mwanaume Nina ------ makubwa utafikir dem et. mpska najisikia vibaya nikichomekea ninavyotuna nyuma.nawaomben ushaur nitumie dawa/mazoez gan I'll angalau yapungue Click to expand... fanya utafiti wahindi wanapenda kula nini. jibu utalipata.
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Jun 4, 2014 #3 Jikubali tu...kuwa na bambataa kubwa hakumaanishi ww sio mwanaume wa kweli mkuu unless kuwe na kitu kingine.
Jikubali tu...kuwa na bambataa kubwa hakumaanishi ww sio mwanaume wa kweli mkuu unless kuwe na kitu kingine.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 Jun 4, 2014 #4 Nokia83 said: Jikubali tu...kuwa na bambataa kubwa hakumaanishi ww sio mwanaume wa kweli mkuu unless kuwe na kitu kingine. Click to expand... Ye hataki....muelejeze mazoezi ya kufanya
Nokia83 said: Jikubali tu...kuwa na bambataa kubwa hakumaanishi ww sio mwanaume wa kweli mkuu unless kuwe na kitu kingine. Click to expand... Ye hataki....muelejeze mazoezi ya kufanya
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Jun 4, 2014 #5 Khantwe said: Ye hataki....muelejeze mazoezi ya kufanya Click to expand... Mm sijawahi kuwa na bambataa tatizo...halaf sijawahi kuckia kuna zoezi la kupunguza mzigo
Khantwe said: Ye hataki....muelejeze mazoezi ya kufanya Click to expand... Mm sijawahi kuwa na bambataa tatizo...halaf sijawahi kuckia kuna zoezi la kupunguza mzigo
I Ilambo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 475 Reaction score 89 Jun 4, 2014 Thread starter #6 ht Hanna kingne ila aibu turn pak a nawaza. kwl dunia haina huruma kuna wanawake wapo flat AF mi npo hv
ht Hanna kingne ila aibu turn pak a nawaza. kwl dunia haina huruma kuna wanawake wapo flat AF mi npo hv
N Nesh Member Joined May 11, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Jun 4, 2014 #7 Ilambo said: ht Hanna kingne ila aibu turn pak a nawaza. kwl dunia haina huruma kuna wanawake wapo flat AF mi npo hv Click to expand... Nipunguzie mm
Ilambo said: ht Hanna kingne ila aibu turn pak a nawaza. kwl dunia haina huruma kuna wanawake wapo flat AF mi npo hv Click to expand... Nipunguzie mm