Ushauri hapa jamani

MBWAMBO NICHOLAUS JR

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
423
Reaction score
434
Habari za mda huu waungwana...
Poleni na michakato ya maisha

Niende kwenye mada
Juzi mother alinipigia simu kuwa kuna barua kapata kutoka shule kuwa dogo kuna msala kafanya sasa wazazi inabidi waende...
Msala wenyewe kwamba Mdogo wangu yeye wamegegeda demu ila kuna vitu waliweka kwenye vivywaji soda wanavyodai na dogo nimebana haha home kabla kufika shule kweli wanadai...
Sasa mother kaniambia NGAJE wewe mkubwa nenda shule kamalizane kesi hiyoo ya mdogo wako mana si mchezo....

Sasa huyu dogo sijui aliwaza nini hadi kufanya ujinga huu...
Kwa wenye experience wa kesi kama hizi njooni kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
andika vizuri kwanza mkuu then tutakushauri
 

Mkuu kwa uandishi huu hiyo kesi hautaiweza. Masikini dogo ataishia kufukuzwa shule kwa kukosa mtetezi.
 
Hebu taja jina la Shule,Tumkamate mapema hawezi kuwa na nyege za kipuuza kupiga mtungo bint zetu alaf nyie Kama familia mnachukulia kitu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…