Very good analysis.
This is another good platform for CHADEMA to increase political credit points.
Nina uhakika mambo haya yatatokea tu;
1/Tukio hili ndio itakuwa habari kuu ya magazeti, Tv, Radio, Mitandao nk.
2/Mahakamani patakuwa ndio kituo cha kuwakusanya wafuasi wa CHADEMA.
3/Lema ataachiwa kutoka mahakamani kwa Shangwe, nderemo na maandamano.
4/Mikutano mikubwa sana ya CHADEMA utafanyika kanda ya Kaskazini.
5/Chadema itaanza kufanya harakati mpya katika kila chuo kikuu.
6/Mulungo atafunguliwa kesi na Chadema ya kumtishia Lema.
Kweli wahenga walisema ni kosa kubwa sana Akili ndogo kutaka kutawala akili kubwa!!!