Ushauri: CCM Tengua Magufuli weka Dr.Slaa

Nani anayeona Dk. Slaa ni kiboko ya Magufuli?

Kumbe kama Slaa hafai, kwa nini mnamsifia kwa sifa za kinafiki na kutaka awe mgombea wa UKAWA? Biashara imebuma! Mgombea wa UKAWA amekwisha kupatikana, ni Lowassa. PERIOD!!!!!!
 
Yawezekana huu ndo ukawa ushauri mbovu zaidi kwa mwaka 2015 #the worst advice of 2015#
 
Kumbe kama Slaa hafai, kwa nini mnamsifia kwa sifa za kinafiki na kutaka awe mgombea wa UKAWA? Biashara imebuma! Mgombea wa UKAWA amekwisha kupatikana, ni Lowassa. PERIOD!!!!!!

Wanaokuja na hoja za uongozi bora wajiulize nani alifuta miiko ya uongozi kwenye katiba pendekezwa?
 
Wamweke Kingunge Ngombale Mwiru.
 
Umetumwa uje upost ujinga hapa ili uvuruge ukawa. Kwa taarifa yako intelligence ya Dr slaa ni kubwa kuliko yako na ya ccm kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…