Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 535
- 224
Mpe mpe mpe
mtoto akililia wembe.....
Wanaume idaidi inazidi kupungua kwa kasi kubwa sana.........
Umeona eeh hapo ndipo penye kazi tehe tehe tehedogo basi uwezo wa kumpa mimba anao?? Bas tu maneno tu kuchezea jukwaa hili aonekane yumo
Namanisha huyo Rafiki yako he is not a man enough....Nimpendenani una manisha nin??? maaana kuna post zingineni za kike zinapostiwa na wanawake
dogo basi uwezo wa kumpa mimba anao?? Bas tu maneno tu kuchezea jukwaa hili aonekane yumo
Namanisha huyo Rafiki yako he is not a man enough....
Habari wakuu,
Nina girl friend nimemaliza nae form six amekuwa akiniambia kila siku kuwa anapenda sana mtoto hivyo anataka nimpe mimba ili akiwa maisha ya chuo anataka awe na mtoto na kwao huyu dada wana hela ile mbaya.
Ushauri jamani