Mimi kijana, naombeni angalau kaushauri flani hivi. Nina girlfrend ambaye ni mwezi wa tatu huu sasa tuko penzini, kiasi flani hivi nampenda ila siku za hivi karibuni amekuwa akilalama kuwa anapata maumivu kwa nyeti zake wakati wa tendo.
Sasa jana asubuhi mimi najiandaa zangu niingie class kanipigia simu kuwa katoka bafuni kuoga kajicheki nyetini kakuta kumetanuka; nikamwambia nikitoka class nitakuja nikucheki, nimeenda mcheki nimekuta kama alivonambia. So wakuu nifanyeje ili ni maintain nisimuumize tena mtoto wa watu? Nisaidieni aisee!.
kama unamuumiza haufanyi foreplay.,. na kama unafanya, haufanyi mda wa kutosha...ama hujui pa kumshika aloe vzuri..,. dushe kubwa sio ishu kama mtto kaandaliwa vzuri.....tena ndo angeifraia kama ulimuandaa sawia.,.,
Dem akiloa ile ki2 inatanuka vzurii tuu bila yye kuskia maumivu...