Nywanoko
Member
- Mar 28, 2018
- 27
- 15
Mimi ni mgeni humu, leo nimeona nijiunge nipate ushauri wenu wanaJF,
Nimeamua kujiunga baada ya kuambiwa na rafiki yangu kuwa alipata ushauri mzuri sana na umemsaidia kwa namna moja au nyingine.
Ushauri wenu nauomba kwenye hii ishu iliyonikuta mwenzenu.Mimi kijana wa kiume ambaye nilimaliza chuo miaka michache iliyopita. Nimebahatika kuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda sasa na malengo yetu ni kuoana.
Hapa juzi kati nilisafiri kidogo nikaondoka Dsm nikaelekea mkoani Mwanza kwajili shughuli za kutafuta ajila na ridhiki kwa ujumla. Siunajua tena hizi tamaa, nikakutana na mdada mmoja anasoma nursing diploma kwenye chuo kimoja kipo mwanza(sitakitaja jina) nilimtamani na nikamtaka urafiki akakubali baadae nikaanza kurusha kete nikimtaka kimahusiano.
Alinitolea mbali lakini ikanibidi nikabidi nikomae tu ikabidi nianze kumfunga kamba(lies) nikamwambia basi nikuoe. Baada ya siku kazaa akakubali.
Nimekula mzigo na nimekuja kunwambia kuwa mimi nina mtu ila nilikutamani na ukweli wote nilimpatia ili kumuweka wazi.
Lakini alilia na akasema mimi amenipenda tu hata nikiwa ninamtu anataka nimuoe yeye nikimuacha anasema atakunywa sumu. Hiyo kauli amekua akiitoa mara kwa kwa mara hata ninashindwa nifanyeje.
Nimemwambia vyote vyakutaka akate tamaa lakini dogo amekazana tu kuwa nikimpiga chini anajinyonga.
Jamani nisaidieni mwenzenu nifanye nini kuepusha hii laana inayoniijia.
Naombeni ushauri.