pont yote iko hapo...mambo mengine wanaiga kwenye movieshivi nyie ndugu zetu mnapofiwa na jamaa yenu mnaamua kwenda kumuhifadhi mochwali kwa muda wa wiki mbili mpaka tatu ili mshone suti au mtengeneze t-shirt nakuweka picha ya mfiwa na mbaya zaidi mmeanza na ka mtindo ka kupeleka maiti saloon. Duh!! Mnaboa kwa kweli. Kaburi mnalijengea mnanunua na grovz kwa ajili ya kushikia tu udongo saa ya kuzika kisha kaburi linafunikwa kwa mfuniko??? huyo jamaa aliekufa anaenda kuoza tu kama mnampenda si mge endelea kuishi nae ndani kwenu?? Mazishi yenu yanaboa sana enyi wenye vijisenti uchwala.
hivi nyie ndugu zetu mnapofiwa na jamaa yenu mnaamua kwenda kumuhifadhi mochwali kwa muda wa wiki mbili mpaka tatu ili mshone suti au mtengeneze t-shirt nakuweka picha ya mfiwa na mbaya zaidi mmeanza na ka mtindo ka kupeleka maiti saloon. Duh!! Mnaboa kwa kweli. Kaburi mnalijengea mnanunua na grovz kwa ajili ya kushikia tu udongo saa ya kuzika kisha kaburi linafunikwa kwa mfuniko??? huyo jamaa aliekufa anaenda kuoza tu kama mnampenda si mge endelea kuishi nae ndani kwenu?? Mazishi yenu yanaboa sana enyi wenye vijisenti uchwala.
Hilo la kupelekwa saloon jipya kwangu, lakini inawezekana (kama vile ambavyo mbwa au paka hupelekwa saloon).Kuna sehemu maiti zinapelekwa saloon??

Dah huu wivu jamani dah, kwanini maiti isienziwe ? , utajibeba na wivu wako acha wenye nazo wawaenzi wanaowapenda!
kwani unadhani wana kitu basi hata misiba yao huchangisha zaidi ya harusi ni afadhali usitoe mchango kuliko kutoa kidogo teh teh!!Lazima gap la aliye nacho na asiye nacho lionekane!!

Lazima gap la aliye nacho na asiye nacho lionekane!!

Msiba ni sherehe kama sherehe zingine,

Dah huu wivu jamani dah, kwanini maiti isienziwe ? , utajibeba na wivu wako acha wenye nazo wawaenzi wanaowapenda!

Lazima gap la aliye nacho na asiye nacho lionekane!!
hivi nyie ndugu zetu mnapofiwa na jamaa yenu mnaamua kwenda kumuhifadhi mochwali kwa muda wa wiki mbili mpaka tatu ili mshone suti au mtengeneze t-shirt nakuweka picha ya mfiwa na mbaya zaidi mmeanza na ka mtindo ka kupeleka maiti saloon. Duh!! Mnaboa kwa kweli. Kaburi mnalijengea mnanunua na grovz kwa ajili ya kushikia tu udongo saa ya kuzika kisha kaburi linafunikwa kwa mfuniko??? huyo jamaa aliekufa anaenda kuoza tu kama mnampenda si mge endelea kuishi nae ndani kwenu?? Mazishi yenu yanaboa sana enyi wenye vijisenti uchwala.
Mdau nisaidie hapo nilipoweka blue kupeleka maiti saloon kuna ajabu gani, saloon si ni aina gari ambayo ni ya kawaida tu..sasa ulitaka maiti isafirishwe kwa mkokoteni?hivi nyie ndugu zetu mnapofiwa na jamaa yenu mnaamua kwenda kumuhifadhi mochwali kwa muda wa wiki mbili mpaka tatu ili mshone suti au mtengeneze t-shirt nakuweka picha ya mfiwa na mbaya zaidi mmeanza na ka mtindo ka kupeleka maiti saloon. Duh!! Mnaboa kwa kweli. Kaburi mnalijengea mnanunua na grovz kwa ajili ya kushikia tu udongo saa ya kuzika kisha kaburi linafunikwa kwa mfuniko??? huyo jamaa aliekufa anaenda kuoza tu kama mnampenda si mge endelea kuishi nae ndani kwenu?? Mazishi yenu yanaboa sana enyi wenye vijisenti uchwala.