love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
mimi nauliza nilichokiona wewe unaniletea mambo ya kikuku nani kakwambia nataka kikuku?? ungeongelea labda kibata hapo ningekusoma:bathbaby::bathbaby::welcome:
wengine huweka hizi nyingiiii jee haziwaumiziii???
View attachment 151852
Mambo hadharani
hebu waulize wenzio wanaovaaga tena waulize walee wanaovaa guu la SHOTO alafu utaskia wanasema nn
haya niulize mie sasa
wataka maana weyeee....
haya basi hiyoo kitu inayowekwa guu la shoto ni kwa waleee wapenda kutumia 0715......
maana yake ni nini?
Chatoka