Hivi mtu unakosa kazi unabaki kuangalia mavazi ya watu wengine,mtoa uzi kama wewe ni mwanaume jiangalie sasa,unaelekea sehemu mbaya sana,wanaume huwa hatuna hii tabia labda kuwe na tatizo la homon sehemu,ila kama ni mwanamke hakuna shida maana ajira nyingi sana zimepotea msimu wa corona,ila ya umbea na ukuda bado ipo ingawa haina mshahara.